chalii wa ara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,087
- 1,023
Mapenz ama upendo mara nyingi ni hisia zinazopaliliwa kidogo kidogo mpaka kufikia Hatua ya upendo kamili , ingawaje kuna upendo wa ghafla ghafla lakin hizi mara nyingi huongozwa na hisia za matamanio zaidi