Miaka inaenda simuoni ninaempenda

Miaka inaenda simuoni ninaempenda

jiwekuu770

Mkuu, Hapo jirani mtaani... Yule mzee pale Mstaarabu na muungwana ana binty yake mrembo kimaumbile na msomi mwenye maadili na mcha mungu!! naona umfuate mkaongee ya maana!!
Kila la heri ufanikiwe mwenza...
 
Last edited by a moderator:
Miaka 29 bado sana mkuu subiria subiria ikifika 40 ndio uoe......kula bata kwanza man...
 
mamaeeee, umepotelea wapi baby,sidhani kama humu kuna mtu anaweza akakupenda milele,yani sijaona mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.

G3T.....mapenzi ya kweli yanatengenezwa na siyo ready made.

Tatizo wanawake na baadhi ya wanaume wanafikiri mapenzi ya kweli yapo sehemu yametulia,,,Mapenzi ya kweli yanapandwa,yanatunzwa,yanastawi na ndiyo yanaanza kuliwa..

Huwezi kusema kutafuta mapenzi ya kweli kwa mwenza wako wakati wewe mwenye cyo mkweli...

Wewe unapaswa kujiuliza; AM I TRUE TO MYSELF....?????
 
g3t.....mapenzi ya kweli yanatengenezwa na siyo ready made.

Tatizo wanawake na baadhi ya wanaume wanafikiri mapenzi ya kweli yapo sehemu yametulia,,,mapenzi ya kweli yanapandwa,yanatunzwa,yanastawi na ndiyo yanaanza kuliwa..

Huwezi kusema kutafuta mapenzi ya kweli kwa mwenza wako wakati wewe mwenye cyo mkweli...

Wewe unapaswa kujiuliza; am i true to myself....?????

Nilijua babaakee utafungukaje.nimekupata mpenzi,

ila unaweza ukafanya hayo yoote na bado mtu asikupende.
 
jiwekuu770

hili tangazo la kutafta mchumba limedhaniniwa na watu wa wap?
 
Last edited by a moderator:
Acha kuangalia tamthilia za kifilipino kijana zina-script zile.

Anyway kama humuoni wa kumpenda,jipende mwenyewe tu.

yeahh kujipenda mwenyewe n vizuri lakini HUWEZI KUJIPENDA KIMAPENZI
 
Usitafute hata maana hutapata umri ukienda utachkua yoyote yule atakayekubali kuolewa na babu au.....chkua m1 ambae kwa akili tu na sio moyo unaona ana vigezo unavyoona vinafaa oa intime u will learn to love her otherwise u are doomed
 
Ahahahah eti ya kwenye movie... Mweh

tatizo dogo unawaza ngono.. Umeshaathitika kisaikolojia
 
Khaa!! jiwekuu770 Kweli wewe ni mvulana bado. Stages ziko hivi
1. kwanza mwanaume hutamani
2. kisha mwanamke hupenda
3.Na mwisho ndiyo Mwanaume hupenda.
Sasa wewe unataka kurukia stage ya mwisho wakati hata hizo mbili za kwanza hujafuzu.
Ndorooombo wewe:heh:
 
Kama miaka 29 bado humuoni ... usijali, muda wako bado! Subiri ufike 35 utamuona kilazima ....
 
Oyooooo,

Mimi ni mvulana miaka 29 najishughulisha na kazi za hapa na pale zinazonipa kipato. Bila shaka unajua kupenda ni nini? Nimekua nikiona watu wakio tu kwa sababu ya umri kwenda, wengine wameoa alafu wanakuja baadae wanampenda mtu mwingne kitu ambacho sitaki kitokee kwangu.

Nimeshakua na wapenzi kadhaa lakini hamna ambae nishampenda nakua nao tu ili kunikidhia haja tena wengine ni ‘‘wife material’’ kweli kweli lakini nakua sijawapenda nawaacha. Nashindwa kuelewa yale mapenzi niliyokua nayafikiria wakati nikikua au yale ninayoyaona kwenye movie yapo kweli au vipi maana mimi sikutani hata wakunishika akili kidogo tu simuoni.

Naombeni ushauri kwenu

We oa bana mengine yatajiseti mbele kwa mbele.

Dokta Machache angefuata hiyo Falsafa yako saa hii ndo angekuwa amepand lile Gari lenye bandiko la "just married".....

Angekaa muda wote bila ndoa akimsubiri Klyn nani angemuelewa.
 
Oa mapema uzae watoto wenye afya na akili, ukisubiri mpake uzeeke itabidi uwe na pesa sana yakula virutubisho ndo upate watoto wenye afya.
 
Back
Top Bottom