Miaka inaenda simuoni ninaempenda

Miaka inaenda simuoni ninaempenda

Atakuja tuu,mie mpaka leo bado sijampata wa kunipenda ila namuomba sana Mungu aniletee wakunifuta machozi.sasa basi kama unaona mtu anakupenda basi na wewe muonyeshe ushirikiano kuliko kumpotezea muda mtu.

inaelekea unachagua sana as if ur a perfect man.ila nahisi muda ukifika atakuja tu.
ooh nawewe hujapata mungu atakujalia uatapata soon ila usimkatae atakayekuja kwa mara ya kwanza
 
jiwekuu770

Kwanza sinauhakika kama wanaume wanakitu "Kupenda" wanaume hutamani hutaka, wanawake waliowengi ndiyo wanahicho kitu "kupenda" na ni rahisi sana kumpenda mwanampe kwa moyo wote, wanaume sina neno zuri la kueleza namna wanavyomchukulia mwanamke ila hicho kinachoitwa kupendwa ni kutamani na husukumwa na kutamani kufanya tendo la ndoa,

ndiyo maana kwa wanawake watakubaliana na mimi kuwa wakitoka na mwanamme baada ya kumaliza tendo la ndoa kwa kawaida hakuna majadiliano, kama wapo nyumba ya wageni mwanaume atajitahidi waondoke huku bibie akitaka waongee mambo ya maisha, ninafikiri wewe hujapata mwanamke mrembo, mzuri n.k ila kama unasubiri hilo utangoja sana

Mmmmmh mmmmh
 
Last edited by a moderator:
Atakuja tuu,mie mpaka leo bado sijampata wa kunipenda ila namuomba sana Mungu aniletee wakunifuta machozi.sasa basi kama unaona mtu anakupenda basi na wewe muonyeshe ushirikiano kuliko kumpotezea muda mtu.

inaelekea unachagua sana as if ur a perfect man.ila nahisi muda ukifika atakuja tu.
sasa wew mbona naona ndo mnaendana na mtoa hoja hapo juu..yani ww unasubiri na mshikaji anasubiri...
mke click mbayaaa
 
Mbona bado mdogo.. Subiri ufike miaka at list 35 ndo ufikirie... Saivi bado unawaza starehe
 
Oyooooo,

Mimi ni mvulana miaka 29 najishughulisha na kazi za hapa na pale zinazonipa kipato. Bila shaka unajua kupenda ni nini? Nimekua nikiona watu wakio tu kwa sababu ya umri kwenda, wengine wameoa alafu wanakuja baadae wanampenda mtu mwingne kitu ambacho sitaki kitokee kwangu.

Nimeshakua na wapenzi kadhaa lakini hamna ambae nishampenda nakua nao tu ili kunikidhia haja tena wengine ni ‘‘wife material’’ kweli kweli lakini nakua sijawapenda nawaacha. Nashindwa kuelewa yale mapenzi niliyokua nayafikiria wakati nikikua au yale ninayoyaona kwenye movie yapo kweli au vipi maana mimi sikutani hata wakunishika akili kidogo tu simuoni.

Naombeni ushauri kwenu

uvulana mwisho unaishia miaka 17, kuanzia miaka 18-45 huo ni umri wa vijana wa kike/kiume ,sasa kama ww ni mvulana xubri uwe kijana ndo uwaze mambo ya kikubwa
 
Oyooooo,

Mimi ni mvulana miaka 29 najishughulisha na kazi za hapa na pale zinazonipa kipato. Bila shaka unajua kupenda ni nini? Nimekua nikiona watu wakio tu kwa sababu ya umri kwenda, wengine wameoa alafu wanakuja baadae wanampenda mtu mwingne kitu ambacho sitaki kitokee kwangu.

Nimeshakua na wapenzi kadhaa lakini hamna ambae nishampenda nakua nao tu ili kunikidhia haja tena wengine ni ‘‘wife material’’ kweli kweli lakini nakua sijawapenda nawaacha. Nashindwa kuelewa yale mapenzi niliyokua nayafikiria wakati nikikua au yale ninayoyaona kwenye movie yapo kweli au vipi maana mimi sikutani hata wakunishika akili kidogo tu simuoni.

Naombeni ushauri kwenu

Utakuwa na tatzo binafsi maana hadi wife material unawaacha
 
wewe hutampata unayempenda kwa sababu ulijiharibia mapema ulivyopewa papuchi ya kwanza ya mtu aliyekubuhu, haukutongoza sana kuzungushwa wiki ili kupata mzuka kamili ili mkikutana wote muwe hamjawahi kutumika. uenda ulivamia bwawa la mtera.
 
wewe hutampata unayempenda kwa sababu ulijiharibia mapema ulivyopewa papuchi ya kwanza ya mtu aliyekubuhu, haukutoza sana kuzungushwa wiki ili kupata mzuka kamili ili mkikutana wote muwe hamjawahi kutumika. uenda ulivamia bwawa la mtera.

Mkuu umenifanya nichekeee asubuhi hiii hahaa haaa
 
Back
Top Bottom