Teh teh teh we zako ngapi?hilo la ID nakataa, invizibo mwenyewe anazo 9, wewe moja uwe nani...
Sio kwamba nashida humu mkuu ila nikipata muda wa ziada lazima niingie kuperuzi hapa
Hongera sanaWakuu heshima kwenu,
Leo hii tumetimiza miaka 9 ndani ya ndoa, naona fahari sana. Maana wengi wameshidwa kuhimili na kuvumiliana, bado nampenda my wife. Glory be to GOD.
Na kesho miaka 4 member JF. ID moja, ban hazifiki 4 na kila wakati nipo humu humu, si mchezo.