Miaka 8 ya mahusiano, mama hatakia anioe

Emecka

Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
75
Reaction score
27
hamjambo wanajamvi, nina mahusiano na bwana mmoja kwa muda wa miaka 8 sasa. between 2008-2009 tulibreak baada ya mama yangu kumkataa yeye akafunga ndoa, baada ya miaka miwili akataliakiana na mkewe akarudi tena kwangu. ila mama yangu kagoma kabisaaaaa asinioe.

kisa cha kumkataa ni hiki; alizaa na mwanamke wa kwanza lakini hakufunga naye ndoa wakaachana na yule mwanamke akaolewa. akazaa na mwanamke mwingine hawakungunga ndoa wakaachana yule mwanamke akaolewa. ndipo akafunga ndoa ila hakuzaa na huyo mwanamke mwisho wa siku wakatalikiana. sasa mama yangu kusikia hivo visa akasema huyo mwanaume hafai. upande wangu mimi pia nilizaa na mwanaume mwingine ila hatukuonana na yule mwanaume ameshaoa.
msaada wa mawazo tafadhalini.
 
Mkapime afu chukua mimba ya huyo Jamaa mchezo kwisha,
 
ungekua hujazaa hata wewe ningekubaliana na mama kwa asilimia zote,mnaelekea kufanana tabia zenu ,so u can make an excellent couple,though huyo mtu wa kuvunja uhusiano kila siko he is not someone trustworthy,concern ya mama ni njema,ila as ushazaa nawe,you dont have so much to loose!
 
Mhhhhhhhhhhhh! Hio ndoa nahisi itakuwa ngumu, Ujue watu waliozaa hawaachanagi, wanakumbushiaaga! Hapo ku share na baby mama wote si mchezo.
 
Hembu tupe record/profile la mama yako kwanza.
Na yeye ujana wake hadi hapo alipofikia

Ndugu yangu hapo unaua mbona, in short baba yangu alimtaliki mke wa kwanza akamuoa mama yangu. Mpaka anafariki hakuwa na watoto tofauti tofauti isipokuwa watoto wa yule mke mkubwa na sisi.
 
wewe olewa tu
sioni tatizo
wote nyinyi ni damaged goods
mnafaana
 
Olewa, after all anayeenda kuishi na huyo mwanaume ni wewe na si mama yako..
 
hamjambo wanajamvi, nina mahusiano na bwana mmoja kwa muda wa miaka 8 sasa. between 2008-2009 tulibreak baada ya mama yangu kumkataa yeye akafunga ndoa, baada ya miaka miwili akataliakiana na mkewe akarudi tena kwangu. ila mama yangu kagoma kabisaaaaa asinioe.

kisa cha kumkataa ni hiki; alizaa na mwanamke wa kwanza lakini hakufunga naye ndoa wakaachana na yule mwanamke akaolewa. akazaa na mwanamke mwingine hawakungunga ndoa wakaachana yule mwanamke akaolewa. ndipo akafunga ndoa ila hakuzaa na huyo mwanamke mwisho wa siku wakatalikiana. sasa mama yangu kusikia hivo visa akasema huyo mwanaume hafai. upande wangu mimi pia nilizaa na mwanaume mwingine ila hatukuonana na yule mwanaume ameshaoa.
msaada wa mawazo tafadhalini.

Huo uzinifu wenu tukupe mawazo ya nini?
 
Najaribu kufkiria baada nyie kuona na mkaishi na watoto wenu wote......remix ya huo mchanganyiko wa watoto
 
dah... yaani nikupe ushauri kwenye suala la uzinifu? ah... kwanza wote saresare mau kwa tabia zenu!
 
Kuna vitu vingine havinaga hata haja ya kushauri. Mtu mwenye akili timamu akiushirikisha ubongo wake kiumakini anapata majibu sawia kabisa. Kuna la kushauri kweli hapa?
 
Pitia hizo threads ambazo hapo juu nimeweka links zake...utajua ni kwa nini huyu mtu anaweweseka mkuu

Kuna vitu vingine havinaga hata haja ya kushauri. Mtu mwenye akili timamu akiushirikisha ubongo wake kiumakini anapata majibu sawia kabisa. Kuna la kushauri kweli hapa?
 
hamjambo wanajamvi, nina mahusiano na bwana mmoja kwa muda wa miaka 8 sasa. between 2008-2009 tulibreak baada ya mama yangu kumkataa yeye akafunga ndoa, baada ya miaka miwili akataliakiana na mkewe akarudi tena kwangu. ila mama yangu kagoma kabisaaaaa asinioe.

kisa cha kumkataa ni hiki; alizaa na mwanamke wa kwanza lakini hakufunga naye ndoa wakaachana na yule mwanamke akaolewa. akazaa na mwanamke mwingine hawakungunga ndoa wakaachana yule mwanamke akaolewa. ndipo akafunga ndoa ila hakuzaa na huyo mwanamke mwisho wa siku wakatalikiana. sasa mama yangu kusikia hivo visa akasema huyo mwanaume hafai. upande wangu mimi pia nilizaa na mwanaume mwingine ila hatukuonana na yule mwanaume ameshaoa.
msaada wa mawazo tafadhalini.

Dada hata akikuoa wewe si mkewe halali,mkewe halali yuleee wa kwanza....alafu kwa iyo tabia yake huogopi nawewe kutalikiwa kama wenzio?? Hapa ndipo huwa nawashangaa wanawake huwa hamjifunzi kabisaaaaaaa
 
Back
Top Bottom