Hahahaha. Shithole boys wengi hawana future. Hata huku wanatusumbua, hasa watoto wa kipemba kaz hawataki kufanya kutwa kupigana mikuki tuUje uwachukue baadhi ya wanaume waliobak huku maana wanatusumbua tu ujuaji mwingi shithole boys
Acha basi!!!Uje uwachukue baadhi ya wanaume waliobak huku maana wanatusumbua tu ujuaji mwingi shithole boys
Hahahaha. Shithole boys wengi hawana future. Hata huku wanatusumbua, hasa watoto wa kipemba kaz hawataki kufanya kutwa kupigana mikuki tu
Acha basi!!!
Maana ya kwanza ni kumshukur Mungu kwa kunifikisha hapa nilipo leo na pia ni happy birthday day yng kwa kuzaliwa siku kama ya leo, kuvuka boda siku kama ya leo kwa mara ya kwanza na pia ilikuwa ni siku ya kutengana na Afrika kuingia huku ukubwan ndio maana nikasema siku hii huwa ni muhimu kwng.Hebu ngoja nijaribu kurudia kusoma labda nitaelewa ulikuwa unamaanisha nini kwenye hii thread yako mkuu
Mkuu samahan kama nimekukwazaMkuu,Nchi yetundio unayoiita shithole country kweli?kwahio utafia huko na kuzikwa hukohuko,hustahili kupongezwa aisee
Dadekii,wewe siku nikikupata utaimba haleluyah.Uje uwachukue baadhi ya wanaume waliobak huku maana wanatusumbua tu ujuaji mwingi shithole boys
Why nduguDadekii,wewe siku nikikupata utaimba haleluyah.
Anatuitaje sisi shithole boys?Why ndugu
Pole mkuu ila hapa sikutaja jina la nchiNina huzuni sana kuona mtu akiandika matusi ya hivi kuhusu nchi yake ya kuzaliwa.
Ama ikiwa yeye anafanya makosa kufikiri hivyo, au ikiwa wengine wamemkosea mpaka kumfanya aseme hivyo, au hata ikiwa ni mchanganyiko wa mawili hayo, bado ni jambo la huzuni sana.
Nimekaa nje ya nchi niliyozaliwa ya Tanzania, hususan Marekani miaka takriban 20 sasa, na kwa kweli nitakuwa muongo nikisema sijawahi kufikwa na hisia za kuhoji uzalendo wangu kutokana na mwenendo wa uongozi nyumbani, na baadhi ya tabia za kiajmii, na pengine kuhoji huko ndio uzalendo wenyewe.
Lakini kamwe sijajisikia kufika kuitukana nchi yangu ya kuzaliwa kwa jinsi hii.
Licha ya hivyo, naelewa baadhi ya sababu za matusi haya na watu kuyachukulia kirahisi.