Brayson Minja
Member
- Aug 22, 2017
- 55
- 39
Hayo maandiko yanayosema muishi kwa kuzini tu amekuonesha?Anafuata msemo wa kwenye biblia kwamba mwanaume atakula kwa jasho so nahisi anasubiri nitusue mwaka wowote ule nitumie hela nliyoitafuta kwa jasho langu kufanya masuala ya mahari na maendeleo mengine ya kifamilia yeye kuniazima ya kwake labda anaona anaenda kinyume na maandiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa huyu usimuweke kwenye hali hiyo sio swala la unyonge, hela zenu huwa zina visiarani sana na masimango tele huwa wanaume tunaoenda kutafuta zetu, asili ya mwanaume ni kukaza hata kama maisha yapo taiti,Duuh hukutaka hata kujua ameifanyia nini? Kweli mwanaume asipokuwa na hela anakuwa mnyonge sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata usimkope tafuta yako man ili ujenge heshima yako, mwanaume pochi mzee babaYuko poa alichukua mkopo wa kwanza M 15 ila daaaah yote akaipiga kivyake mi sikutaka kumwingilia kwenye fedha zake ,now kaniambia atachukua mwingine ndo namsikilizia anikopeshe kiasi nipambane na biashara nna hasira kinyama na kutafuta hela ila mtaji ndo mtihani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo man mi napambana kivyangu ,akitaka anipe mwenyewe ila kunikopesha ntamzinguaHata usimkope tafuta yako man ili ujenge heshima yako, mwanaume pochi mzee baba
Hahaha sawaaKwa huyu usimuweke kwenye hali hiyo sio swala la unyonge, hela zenu huwa zina visiarani sana na masimango tele huwa wanaume tunaoenda kutafuta zetu, asili ya mwanaume ni kukaza hata kama maisha yapo taiti,