walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,842
- 5,670
Dah uyo mwanamke hana hata huruma kwakweli mpaka nimejisikia vibaya binafsi nilikuwa na mapito kama ya kwako lakini nashukuru mungu mke wangu ni mtu mwenye huruma sana kuna baadhi ya vitu alikuwa ananikampaniAnafuata msemo wa kwenye biblia kwamba mwanaume atakula kwa jasho so nahisi anasubiri nitusue mwaka wowote ule nitumie hela nliyoitafuta kwa jasho langu kufanya masuala ya mahari na maendeleo mengine ya kifamilia yeye kuniazima ya kwake labda anaona anaenda kinyume na maandiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app