Miaka 65 lakini Ananitaka

Mind you,kila mwenye kutoa pesa yake huja na masharti yake,jiandae kuyatimiza ndipo utakuwa malkia mvaa pampas fulltime!!
 
ha ha ha umenichekesha sana...wazee wa siku hizi bwana ujana wake alikuwa wapi saa hizi anataka kumeng'enyua watoto wa mwanaume mwenzake

Acha tu mukubwa halafu siku hizi visichana vidogo vidogo vinatoa mzigo kwa wazee duh ..........!
 
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
pole kwa masahibu wazee ,siku hizi hawazeeki ni wazee vijana ,kama uko shule tuna kampeni yetu ya kusema ,sidanganyiki .endapo uko kazini huyo mzee anakukwaza kwa promotion ,sio tija usigawe hiyo sio pipi ,mpotezeeeeeeeee
 
Chezeya pesa wewe, pesa ni kila kitu bana
 
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.

Kwatuaaaaaa,mababu wanajua kubembeleza(Nilimsikia mdada akisema hivyo east afica radio),pili mababu dakika 1 tu hawakuchoshi,so chukua mzigo huo na pia utakula mahela.....
 
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
hahahahahahahahahahahahah wewe jana si ulikuwa unasema utanitoa kumbe mpaka unata vizee vikutoe ndo unitoe
 
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.

Hapo qenye red ndio tatizo.
Ukimpa utarudi kutuambia ulimpa na alipiga goli ngapi?
Ukimpa wakati ukitegemea upate zawadi asipokupa utatulalamikia qa kukuambia umpe?
Wewe ni malaya wa bei rahisi (mwanachuo wa UDOM);
Unayeuza utu wako qa ajili ya umalkia wa muda mfupi.​

Bazazi Nimesema!
 
kwa nini wataka kufanya kitu usichokipenda kwa sababu ya kupata umalkia kama ni umalki unao hata bila kuwa na huyo babu lol
 
Binti.com, nilikuwa nakuweka katika mahesabu ya wale wanaoweza kuwa wachumba wema wa Power G, lakini kuanzia leo nimekufuta kabisaa. Kumbe wewe nia yako ni umalkia tu na siyo mapenzi!! Bye bye

power G msijitee nyie vijana mnahangaika na gals wa o level, acheni wadada waende kwa vizee ili na nyie mkifikia uzee mtawakuta dotcom wengine, hahahahaha, life bana
 
Mbona unaonesha hauna msimamo Binti.com? Hivi ni pesa ndio inaweza ikakudharirisha au kuna kingine?
Pesa ni muhimu sana lakini na utu wako ni muhimu zaidi ya pesa!


Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
 
Last edited by a moderator:
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
umpe nini? nisije changanya habari hapa
 
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.

jiandae kuliwa 0712..taka vijisenti wewe
 
hiyo ya kukufanya malkia tunaitumia sana na huwa inawalegeza!mpe tu
 
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.

Kinachokuchanganya ni kutaka kuonekana malkia ktk ulimwengu huu! Malkia anayeishi na kizee asichokipenda! Malkia asiyekuwa na furaha! Achana na mapenzi ya utumwa.
 
we ni malkia tu hata kama hautampa,
kwanza ukimpa ndo umalkia wako utaisha

we umeshawahi kuona malkia anagawa ovyo ovyo.ridhika na ulichokuwa nacho
if not satisfied just strugle u will get what u want
 
nadhani wewe ni mtu mzima vya kutosha, unajua lipi linafaa na lipi halifai, una malengo yako ambayo ushajiwekea teyari ktk maisha yako,ninacho kushauri mimi kama KIBOL ni "usiache kile ulichokipenda maishani ukafata kile ulichokitamani"
 
Unatamaa ya umalkia? Huyo babu kakusoma tabia zako za tamaa na atakupaua kwa laki mbili tu maana atakupa Milioni tano umuwekee wakati mnaenda kijiji beach mkifika atakupa Savannah saba na kuku then analipia room anakupaua then anakuambia naomba nilipie gharama akitoka anakurudisha hostels anakupa laki mbili na mzinga wa whisky uliobaki.

Baada ya hapo utakuwa unampigia wewe mwenyewe. Hebu kuweni independent ninyi mabinti fanya kazi utapata pesa na utathaminiwa sana machoni mwa kamikaze.
 
We jimwayemwaye binti, maisha yenyewe mafupi, alafu urefu wa fimbo ni uleule kwa wazee na vijana. Mpe kitu upate vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…