Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,453
- 10,059
Inasikitisha kuona taasis muhimu kama hii, bado baadhi ya vitendea kazi vyao viko hivyo, katika taifa ambalo lina miaka 53 ya uhuru.
View attachment 216430
View attachment 216430
View attachment 216438
Baadhi ya vituo vya Police ni shida na bado wanasiasa najinadi wanefanya makubwa ndan ya nchi iliyojaa umasikin licha ya rasilimali ilizonazo!!!!
Inasimitusha saana
Rudi tena baada ya miaka 100, hali itakuwa hivyo hivyo!!!Inasikitisha kuona taasis muhimu kama hii, bado baadhi ya vitendea kazi vyao viko hivyo, katika taifa ambalo lina miaka 53 ya uhuru.
View attachment 216430