Tee Bag JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 7,220 Reaction score 5,627 Dec 20, 2014 #1 Chino ya serikali ya ccm Attachments 1419068320992.jpg 54.9 KB · Views: 251
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,585 Reaction score 11,269 Dec 20, 2014 #2 Dogo kama huyu baada ya miaka hamsini mkononi anasandarusi kichwani anakumbukumbu ya magumu ya elimu, Mbele yake kuna billion. Akikwapua mtasema mwiziii????
Dogo kama huyu baada ya miaka hamsini mkononi anasandarusi kichwani anakumbukumbu ya magumu ya elimu, Mbele yake kuna billion. Akikwapua mtasema mwiziii????
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,856 Dec 20, 2014 #3 Hiyo ni academy school ya mtanzania. Nchi haina pesa lakini posho ya wabunge na mshahara mkubwa vipo.
Hiyo ni academy school ya mtanzania. Nchi haina pesa lakini posho ya wabunge na mshahara mkubwa vipo.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Dec 20, 2014 #4 Hali bado tata
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Dec 20, 2014 #5 hiyo ni tuition centre... sio shule.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,119 Dec 20, 2014 #6 First Born said: hiyo ni tuition centre... sio shule. Click to expand... Mmmmmhhhhh