Miaka 51 ya uhuru! Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele. Je umewahi kufikiria tumethubutu kufanya nini? Tumeweza nini? Na tunasonga mbele kwenda wapi? 1. Miaka 30 ilopita tulikuwa na viwanda leo ni kama hatuna(tunasonga mbele) 2. Kumshtaki fisadi wa mabilioni na kumhukumu kifungo miaka miwili wakati mwizi wa ng'ombe akihukumiwa anafia gelani. 3. Kuyatupilia mbali madini yalokuwa yanatukera na kubakiwa na mahandaki kwa ajili makumbusho (kweli tumethubutu) 4. Miaka 30 ilopita mizigo mikubwa ilikuwa inapita relini, leo inapita barabarani (kweli tunasonga mbele kwa kasi) 5. ........................... 6.................................... 7...............................