Miaka 50 ya uhuru tanzania nchi gizani.

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Leo imeniuma sana. Umeme umekatika tangu saa 11 jioni, nimeuliza tanga hakuna umeme, dar giza, dodoma, morogoro pia gizani. Nadhani ni issue ya nchi nzima. Hv tunaelekea wapi jamani?
 
Huo ndio urithi aliotuachia nyerere! alikataa steigler usifuliwe umeme toka enzi hizo, kwanini?
 
Ni nchi nzima kweli, nimewasiliana na watu Mwanza, Arusha na Ruvuma kote hamna umeme, kweli Tanzania bila umeme INAWEZEKANA.
 
Leo imeniuma sana. Umeme umekatika tangu saa 11 jioni, nimeuliza tanga hakuna umeme, dar giza, dodoma, morogoro pia gizani. Nadhani ni issue ya nchi nzima. Hv tunaelekea wapi jamani?

i i i i i i i i i i i (nimeshangaa kwa kinyamwezi)TABORA PIA HAKUNA UMEME TOKA SA 11.KUMBE NI NCHI NZIMA.Kumbe BADRA MASOUD KAKOSEA KUTANGAZA KWAMBA MGAO UMEKWISHA?SAFI SANA CCM,KWANI MUDA SI MREFU SIMU YANGU ITAZIMA NA NITAKUWA MPWEKE.KIDUMU CHAMA CHA MAP.......O...Y.....O......YO
 
Ni nchi nzima kweli, nimewasiliana na watu Mwanza, Arusha na Ruvuma kote hamna umeme, kweli Tanzania bila umeme INAWEZEKANA.
Check well, hapo kwenye red hawatumii grid ya Taifa....... Niliwasiliana na Mbeya, pia walikuwa gizani kwa muda mrefu leo.
 
Back
Top Bottom