Miaka 50 ya uhuru na matumizi Kinyesi cha ng'ombe kutibu kidonda.......!

KAMBOTA

Senior Member
Mar 21, 2011
176
103
Naomba nikiri wazi leo wana JF kuwa nimewahi kutembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania la sijawahi kuzama vijijini kabisa mara nyingi huishia sehemu za mji kidogo sasa leo nimerudi kutoka mkoa mmoja tena sio mkani tu bali kijijini kabisa.
Wadau nilichokiona huko nahofia hata kukisema tuuup! aisee yaani nmeona mama mmoja anampaka kinyesi cha ng'ombe mtoto wake aliyejikata....eeh yaani mavi ya ng'ombe kwenye kidonda kibichi ..sijawahi ona hii ajabu sana!
Miaka 50 ya uhuru chini ya CCM wananchi wanatumia kinyesi cha ng'ombe kutibu vidonda, kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, sasa ccm wanaposema huwa wanapata kura huko vijijini nani anawapigia? wananchi hawa wanatibu kwa kinyesi au wanajipia wenyewe? kama ni hawa wananchi basi kazi ipo na inahitajika kafara kubwa sana kuliokoa taifa.....NIMESHANGAA SANA!!!
 
Huko ndiko ccm huiba kura nyingi sana ili kufidia za mijini. Wanajf wapenda maendeleo, tokeni humu ndani, mwenda vijijini mkahamasishe watu wabadilike na kuingamiza ccm. Wanavijiji wapo tayari kwa kusafiri kinachokosekana ni meli ya kuwabeba, tuwe meli zao.
 
Back
Top Bottom