miaka 50 ya uhuru na clouds fm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

miaka 50 ya uhuru na clouds fm

Discussion in 'Celebrities Forum' started by NYAGI DRY, Nov 9, 2011.

 1. N

  NYAGI DRY JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  kama unaujua mziki,tena si unafiki, huwez kusheherekea miaka 50,bila kumtaja nguli wa music hip hop tz mheshimiwa joseph mbilinyi,kwani alifanya kazi ya ziada na hata kuu utangaza muzik ndan ya bongo na nje ya bongo,so sion sababu ya kumpa shavu bushoke! Sawa hawa wanuka miguu wanatakiwa kujua mzik na historia,na si unafik wanaoufanya! Am out guyz
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Na mimi nashangaaaa wanawaenzi eti kina Qchief kama waasisi wa bongofleva bila kumtaja sugu wanachemka hawa klauzi
   
 3. N

  NYAGI DRY JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Njaa sana! Au hawajui kuna watu wameanza ku rap kabla ya fm?
   
Loading...