December,9 2011 Ni mwaka wa madhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara. Serikali yetu tukufu inatarajia kufanya maonyesho maalum kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara .
Chini ya Uongozi wa Raisi wetu Msikivu Mheshimiwa Jakaya Kiwete ingekuwa ni vizuri kauanza kuanisha mafanikio amabayo nchi yetu imeweza kuyapata kama taifa huru kwa kipindi hiki cha miaka 50 ambayo ni ya kujivunia , mfano uwepo wa utulivu na amani, upanuzi wa demokrasia, elimu ya juu, huduma za afya nk.
Mheshimiwa Nape ni wakati muafaka wa kuanza kuainisha haya mafanikio kwenye kila ziara utakazokuwa unafanya huko mikoani kabla ya hawa viwavi wa CDM kuteka slogan yetu, TUMETHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE