Kingofkinzudi
Member
- Jul 4, 2008
- 36
- 2
Hili ni jambo la ajabu sana miaka 50 baada ya uhuru bado hakuna miundombinu ya maji wala maji, hakuna miundombinu ya umeme wala umeme, hakuna shule, hakuna mahospitali kwa sababu kwenda mwananyamala ni sawa na kwenda kwa mganga wa kienyeji nk.
Hivi serikali imesimamia kitu gani kikafanikiwa vizuri ? labda kupiga raia. Vyama vya kijamii vinasimamia mirandi yake yote na inafanikiwa. Kwanin serikali haiwezi. Well ! sehemu kubwa ya wafanyakazi serikalini ni reject, uwajibikaji zero. nk.
Kweli, mchanganuo wa ulimwengu wa kwanza, pili na tatu ni jambo la ukweli. Nchi ambayo inashindwa kusimamimia chochote nadhani hata kusema ni ulimwengu wa tatu bado tunaipendelea. labda wa tano .