CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Lazima kuna jambo halijakaa sawa sehemu...au shoga yko anaulizia sana mambo ya commitmnt
Hata kama ingekuwa mimi ningeuliza, 4 yrs hapana aisee! Yaan hapo mtoto anakuwa kashaanza kindergarten....
Vijana cku hz wanaogopa saba commitmnt....sometimes unaacha mambo yaende mungu ndio anajua
Sasa shoga yako kapewa uhuru wa kuendelea na life na mtu mwingine ni bora aendelee kusubiri hapo kuliko kuanza mahusiano mengine hamna guarantee kuwa huko ndio atapata atakacho
Yupo aliyemchagua kuwa nae.... !!yaani wanaume ni balaaa
Ana mambo mengi amesema
Vijana cku hz wanaogopa saba commitmnt....sometimes unaacha mambo yaende mungu ndio anajua
Sasa shoga yako kapewa uhuru wa kuendelea na life na mtu mwingine ni bora aendelee kusubiri hapo kuliko kuanza mahusiano mengine hamna guarantee kuwa huko ndio atapata atakacho
Hapo anamaanisha hawezi kuacha yale mambo ambayo inabidi uachane nayo once ur commited...msione watu tumeoa kwny ujana we av sacrified alot whch watu wengine wanashindwa
Laiti angemwambia kuwa nivumilie mpaka hapo baadae nitakapokuwa nimejipanga hapo sawa. Lakini kuambiwa kuwa "Saivi nina mambo mengi nashindwa kuamua" ina maana hata hayumo kwenye plan zake...
Hapo anamaanisha hawezi kuacha yale mambo ambayo inabidi uachane nayo once ur commited...msione watu tumeoa kwny ujana we av sacrified alot whch watu wengine wanashindwa
Daaah unaweza ukahisi Mungu yupo likizo kwa upande wako. Na-imagine wanaume ambao huyo mdada aliwakataa probably akijua ashapata mume..... the sacrifices she made for the sake of love etc. Mwambie amshukuru tu Mungu kwa yote, pengine huyo mkaka hakuwa riziki yake. Najua ni ngumu sana kwake kumove on, but hiyo ndo only option aliyonayo kwa sasa. Mungu atampigania na atamfuta machozi yake
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Yaan.. Moyo wa mtu ni kiza kinene. Et "Hata mie nakupenda tena sana" si afadhali angempa moyo walau nivumilia mpaka hapo mambo yangu yatakapo kuwa sawa??
Ina maana tayari hakuwa na mpango naye kabisa!
Sasa kwa kauli hiyo hajaPlan kuwa nae....!!Yupo ambaye ataacha mambo mengi aliyokuwa nayo na kuoa.
Amejaribu kumzunguka wala haitaji akil kubwa kung'amua hilo.
Jamaa anahitaji space
R u married?...huyo jamaa hayupo ready for commitment for nw.
Hahahaaa.... Not yet mkuu, ila kwa mie sitoweza kukaa muda wote huo aisee... Watu wengine ni wavumilivu sana!!