Miaka 37 Vs miaka 24...

Miaka 37 Vs miaka 24...

Kuna ka wimbi ka hii age group kuvizia akina mama wa hiyo age.

Lengo Ni kutest mitambo ikiwaka Basi wanataka wajiweke mazima huku full mtelezo kwenye ganda la ndizi.

Manina.
 
Mission kama hizo wenzak tunakuaga kimya, wewe hata chiu hujapewa ushaanza kelele kila kona. Behave!..
 
Yan wa Tz bwana yan mtu kuchapia kwnye "l" na "r" Imekua bonge la debate..
Umechapia ama hujui?,haiwezekani kosa likajirudia uzi mzima bana, kubali tu hujui matumizi yake na ujifunze, kwani huko chuo umeenda kusomea ujinga?😀
 
Back
Top Bottom