Juzi hio ijumaa may 22. Kama kawaida yangu nipo addicted sana na mazoez.. Baada ya kukata wese asubui.. Jion kama kawa lazma nicheze mpila jion ( saa 10) Au kama nimebanwa sana bas huwa nakimbia road mishale ya Saa ( 1 mpka Saa 2 na nusu) nishamaliza program yangu..
Bas bwana may 22 io ijumaa flan iv imetulia.. Jion sikupata muda wa kucheza mpila na washkaj kutokana na pilika pilika za hapa na pale.. Nikawa napiga zangu jogging tu kwa road. Baada ya kumaliza rut yangu. kuna sehemu naishiaga kwa ajili ya kufanya mazoez ya viungo na kufunga program kwa io siku.. Ni sehemu flan iv imetulia mwanga hafifu kidogo ni zile road za mtaani sio MAIN ROAD..
Basi bwana naendelea na program zangu mara nasikia Sauti "naona unawajibika" aaah ikabid nisitishe kwanza mambo yangu.. Nageuka nyuma iv namkuta bi mkubwa.. Flan iv Physically yupo saf tu.. Dongo Zuli body imetulia.. Utasema bint wa miaka 27.. In short alikua vizul siunajua pesa tena.. Nikamjibu yeah lazma mazoez tuyafanye ni sehemu ya maisha kama ilivyo huwez kupitisha siku bila ya kupiga mswaki Au kuvaa... Akacheka..
Kufupisha story maana tulikua na dialogue ndefu kidogo kama dkk 6 iv.. Mwisho wa story ananiambia Ndio kwanza mgeni kwnye huu mtaaa ameamia Juz juz tu kama vip.. niwe jilan yake.. Tuelekezane viwil vi3..kuusu pale mtaani na upatikanaji wa huduma muimu.. Aaah nikaona isiwe kesi kwa sababu binafsi nakuaga na simu ninapokua jogging kwa ajil ya Ku count kilometers.. Ninazoenda vs time iliotumika.. Tukabadilishana mawasiliano.. Nikaendelea na program yangu kidogo then nikalud Gheto..
Baada ya muda kidogo nikamvutia waya mazungumzo yalikua marefu kidogo nikagundua ana watoto wawil , through maongezi yetu na maswal niliyokua namuuliza.. ila wameachana na mumewe ( single mother) anapiga kazi taasis flan iv apa capital city..
J mos io nikatest mitambo kidogo nikamtongoza kidume nikatoa niliyonayo akanambia ooh we mdogo sana sijui watu wakituona watatuchukuliaje nikamwambia kwan utanibeba mgongoni.. Age is just a number.. Akaniambia nitakujibu.. Baada ya muda inaingia text '" sawa nimekuelewa ila subil watoto wangu waludi shule kwanza nimekubali Kua na ww'' so now zinaendelea charts za kawaida phone call & video call.. Mpka vijana wake waludi school..
Apa nasubil kwa hamu kushuhudia Ukweli kwa haya ma single maza maana kuna wadau Humu wanasema mara oooh..
1. Wasaf sana nje na ndani
2. Mara ooh hawana fake promise akisema anakuja anakuja.. Ndani ya muda husika
3. Wako na ujuzi sana kunako bedi na sifa nyingine kede kede.. Walizomwagiwa umu
NB.. Nazingatia safety kuliko unavyodhani
Karibu June