Soyuncu
Senior Member
- Nov 20, 2019
- 193
- 228
- Thread starter
- #41
Binafs asubui nakata 10 km Au pungufu ya apo ila sijawai kuvuka 12km naamkaga Saa 11.. One hour linanitosha.. Baada ya apo naenda kwnye mishe mishe zangu..Mkuu huwa unakimbia kilomita ngap kwa siku?
Inshu sio unakimbia km ngap ila unazikimbia kwa muda gani. Kwa mfano kama unakimbia km 2 kwa dkk 7 bas kesho kimbia km izo izo kwa muda pungufu..
Hii app inaitwa SAMSUNG HEALTH ninayo kwnye simu so lazima nikimbie na phone
Apo jion nikicheza mpila Au nikikimbia jogging kidogo Kama nusu Saa iv . nakua poa Bila ya hivo nais Kama nimepungukiwa kitu..
Sema tu dudu ikisimama inakua ngumu balaa sometimes unaweza Adi kupasua kondom
Sent using Jamii Forums mobile app

ᵃʳᵉᵉᵐ
