Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Mkuu nenda US unakubalika kwa roho nyeupe kwa East Africa..mtafute Miki Wilson atakupa mchongo...........pia Russia na Ukraine.Habar,
Mm ni kijana wa miaka hyo hapi juu natamani sana kuingia jeshini!
Elimu yangu n bachelor degree!
sasa kwa huo umri naweza pata ??
Kama siwezi nifanyaje au nitumie mbinu gan?
NAAMINI LAZIMA KUTAKUA NA EXCEPTION
NB: Najua limit n 20’s
32 kwa masters degree
Mkuu nenda US unakubalika kwa roho nyeupe kwa East Africa..mtafute Miki Wilson atakupa mchongo...........pia Russia na Ukraine.
Kalime nyanya
Be a prophet or sheikh
Even alwatan its better too but the military forget abt it
Nafasi zimetoka nini za ajira jeshini?Habari,
Mimi ni kijana wa miaka hyo hapi juu natamani sana kuingia jeshini!
Elimu yangu n bachelor degree!
sasa kwa huo umri naweza pata?
Kama siwezi nifanyaje au nitumie mbinu gani?
NAAMINI LAZIMA KUTAKUA NA EXCEPTION
NB: Najua limit n 20’s
Ukweli ndio huo....vijana wengi sana wa TZ wamefia humo wakijaribu kutafuta riziki.wasije wakanipeleka kwene war-front walivowabaguzi wale,
mi nataka bongo
Kwa umri huo ungekuwa na masters ili uende kwanza jkt ila kama utaenda moja kwa moja jwtz bila kupitia jkt unafaa mpaka 35 kwa elimu yakoHabari,
Mimi ni kijana wa miaka hyo hapi juu natamani sana kuingia jeshini!
Elimu yangu n bachelor degree!
sasa kwa huo umri naweza pata?
Kama siwezi nifanyaje au nitumie mbinu gani?
NAAMINI LAZIMA KUTAKUA NA EXCEPTION
NB: Najua limit n 20’s
Kuna vigezo na sio ubaguzi🪑wasije wakanipeleka kwene war-front walivowabaguzi wale,
mi nataka bongo
Jeshi la nchi gan??? Km vp kakinukishe WagnerHabari,
Mimi ni kijana wa miaka hyo hapi juu natamani sana kuingia jeshini!
Elimu yangu n bachelor degree!
sasa kwa huo umri naweza pata?
Kama siwezi nifanyaje au nitumie mbinu gani?
NAAMINI LAZIMA KUTAKUA NA EXCEPTION
NB: Najua limit n 20’s