Miaka 3 katika uchumba ila...

Mwanangu mengine hutakiwi kuyajua, ni mimi na mama yako tu ila tulikua hatufanyi kitu kibaya

sawa baba siulizi tena nilikuwa nasikia mama anasema anasikia raha umpe kila siku raha baba sawa baba yangu
 
One wisemen said nobody wants to wait forever,umefanya vibaya kuwa na huyo dada for that long without really loving her,put yourself in her shoes then u will know how it feels!,i wont give u advice kusema kweli!
 
umeshajilia mzigo 3years sasa sizitaki mbichi hizi????haya bwana
 

Pole sana mkuu... ila kama ni kweli.... hili lilinitokea hadi tukazaa nae.. ila nlikua simpendi hata kidogo... baadae aliamua kuja home na kuweka kambi... maajabu kila kukicha nona mambo yanabadilika... ninanza kumpenda... na ni imani yangu kuwa kuchelewa kupenda kwa mwanaume ni bora sana kuliko kuwahi kupenda. ukienda taratibu unajijengea msingi imara wa love.... jipe muda utayashinda... Ni stori ndefu kwangu na ninajuta kwani nilikua naandalia mashori wazuri wenye kuvutia nk... ila wengi wa sampuli hizi ni shida kwani wanatekwa na vidume wengi na wanadharau sana....

My take: Less beautiful girls are the best to be wives than pretty ones' she is urs
 
Hii taarifa si ya kweli na kama ni kweli,basi muhusika anatatizo la maamuzi na kutojitambua.HUwezi kuwa nas relation kwa miaka 3 bila upendo wa kweli.Halafu urafiki sio uchumba,hata hili unashindwa kutofautisha?
 
Sitoshangaa kwanini wanawake wanajifunza uchawi.... Ingawa sio solution but inauma sana, binti kajitolea mangapi kwa muda wote huo. Kakataa wanaume wangapi kwa ajili yake.... Oooohhh its real pain aisee!!!

Sina ushauri juu yako mtoa mada ila wanaume mnachezea sana hisia za wanawake!!!

MLOGWE TU......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…