Sasa kaka ushauriwe nini? You understand very well what you did. Na unajua unalotaka kufanya. Sasa unatakaje? Haumpendi tukushauri umpende? Umepoteza miaka yake mitatu labda angepata mtu mwenye kujali moyo na upendo wake wa dhati. Sometimes tuwe tunaangalia vitu vya kuomba ushari. Jibu ni moja haumpendi umekiri, so take time to tell her the truth aende zake. But remember chozi lake ni la thamani sana. INAUMA SAMA. Jamani wanaume mkipata mwanamke anayejitambua akakupa upendo wote bila kuficha chembe ya upendo, akakujali ulivo bila kujali hali ya kwenu wala yako fikiri mara mbili.
yani we kinega kweli miaka mitatu uvutiwi nae leo ndo unataka umwache ... duh aisee mwambie mapema usizidi mpotezea mda na kumuumiza jamani
Najua nimefanya vibaya ila naitaji ushauri zaidi.
hapana still he have time kuliko kumtesa maisha yake yoteKama nikumwambia mbona kama ni too late vile
hapana still he have time kuliko kumtesa maisha yake yote
Huo ndo ukweli, kama mtu hakuvutii, ama huoni future nae ni vema kumwambia mapema....
Hata kama ataumia, ila time is the best healer, ataugulia maumivu ya moyo then atasahau tu. Mara nyingi tunapenda tusipopendwa, ama vigezo haviendani..
^^
Anaependwa hajui thamani ya kupendwa mpaka apende asipopenda
^^
Mr Rocky nina miaka 26,nadhan kukua hapo si sababu naomba t unishauri,najua nimekosea sana sasa nifanyeje?
Mwanangu hujambo?
miss chagga utafiti najua nlifanya vbya
siambo baba shikamoo, baba habari ya mama ya usiku...... baba ulikuwa unamfanya nini mama nilikuwa nawasikia
Marahaba mwanangu. Honey wangu mzima sana, aaah tulikua tunakuongelea wewe na Katavi kasema mwanae bado mdogo so ukae na sisi kwanza
baba aah si hicho kile kingine ulkikuwa unafanya nini mkawa mnapiga kelele