gamaweshi belo
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 453
- 173
Inakuumiza nini wewe wakati wewe humpendi ila yeye anakupenda kwa dhati
Wewe huna mpango nae ila yeye anakupenda tell her mapema ili asijisumbue kukupenda wakati huna mpango nae wala humpendi
naona uko vizuri kwenye picha...keep it up..majukumu yatapungua sasa..miaka mitatu yote kumbe huna mpango wowote!!!!!!!!!!
Tatizo anaeza akajidhuru,hofu yangu ndio hiyo,sipendi afe kisa mimi
Naombeni mnishauri ndugu zangu napenda niwe mkweli sasa.
Naombeni mnishauri ndugu zangu napenda niwe mkweli sasa.
Kipi kinachokufanya usimpende au usidevelop mapenzi nae kwa miaka yote mitatu
Kwa nini umeshindwa kabisa kumpenda au kuwa na mapenzi naye kwa kipindi chote hicho
Kwani ana kasoro gani au wewe una nini ambacho kimekufanya msipendane
yani we kinega kweli miaka mitatu uvutiwi nae leo ndo unataka umwache ... duh aisee mwambie mapema usizidi mpotezea mda na kumuumiza jamani
Alikuwa anamfanyia mazoezi
Rocky,kiukwel nimejitaid sana yaani nimpende ila nimeshndwa,yaani namchukulia kawaida tu,ila n mwanamke wa kawaida lakin Mungu amempendlea ving sana niwe muwazi,ana tabia nzuri sana sijawah kuona,anaheshma na anapga kazi,ila moyo wangu sijui ukoje tu,NAJUA ni wife material hata marafk zangu huwa wananiambia-tatizo n mimi sasa bro
Usifanye utani kwenye jambo la msing mr
Ana mapungufu gani mpaka uwe humpendi?
Usifanye utani kwenye jambo la msing mr
mazoezi miaka mitatu jamani si sawa kabisa ni bora akamwambia hyu binti wa watu ili asizidi kumpotezea mda