ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,804
- 60,650
Me Sina mkeMkuu unashingapi , nikusaidia kumpatia mimba mkeo
Oa!! sasa tena haraka halafu nikodishe nimpe ushauri nasaa! Msaa 24.Me Sina mke
Inagharimu sh ngapi kufanya vipimo mkuuUnasema mademu hawakutaki..sasa mimba utawapaje?..kwa mdomo?
Kafanye sperm count and fertility examination kama una hofu na hilo..ila for the meantime ni kuwa ili umpe demu mimba ni lazima umgegede na umwagie ndani siku ambayo yupo kwenye joto vitu vingine vikiwa vimeremain constant.
Mjitahidi mzae mapema!Uandishi wako tu unasema mengi!!
Swali zuri mkuuInagharimu sh ngapi kufanya vipimo mkuu
Dah POA fresh tuombeaneUsihuzunike
Hivi mwanangu we Safari ngapi humalizi?maana me hizi kubwa nikipiga sita tu chali nazima na kuzima yaani aibu kinyamaBado umelewa mkuu. Kapate soup, unywe na maji mengi. Jumapili usinywage safari mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23]