Miaka 20 Ya Kipanya kuwatetea wanyonge

Miaka 20 Ya Kipanya kuwatetea wanyonge

Enzi zake power brekfast bwana waliopo viatu vinawapwaya sana....alikuwa na binti fulani hivi jina limenitoka...walitosha na kuenea kwenye kipindi....big up masudi...ninunuapo gazeti naanza na kipanya kwanza...
 
Alikuwa anaitwa Phina mango nasikia yupo times radio kama sikosei..anaendesha kipindi cha makutano....kifupi wote ni majembe aiseeeh tena ya nguvi(masoud &Phina mango)
 
Enzi zake power brekfast bwana waliopo viatu vinawapwaya sana....alikuwa na binti fulani hivi jina limenitoka...walitosha na kuenea kwenye kipindi....big up masudi...ninunuapo gazeti naanza na kipanya kwanza...
Fina Mango
 
Back
Top Bottom