Miaka 2 ya Magufuli: Je, Media imetimiza Wajibu wake as Watchdog (With Objectivity) au Kwa kusifu tu Bila Kukosoa?

Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,260
Likes
30,292
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,260 30,292 280
Wanabodi,

Naangalia kipindi cha Jito Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa na Star TV, kikijadili miaka miaka miwili ya rais Magufuli madarakani, jee media ya Tanzania, imetimiza wajibu wake as a watchdog of the society kwa kufanya tathmini ya performance ya Magufuli, with objectivity na impartiality?.

Panelists ni Edwin Soko na Yohani chini ya moderation ya nguli Dotto Emmanuel Bulendu, wamepiga madogo makubwa mwanzo mwisho, kuhusu role ya media yetu, katika uwezo wa kufanya tathmini kwa kutumia analytical reporting kwa kuitathmini miaka miwili ya Magufuli, kwa kuzungumzia mafanikio yake, lakini pia kuzungumzia mapungufu yake, au kwa kuikosoa , badala yake media imekuwa ni sehemu ya wapiga debe wa Magufuli kwa kusifu tuu, kuwa Magufuli amefanya hiki, amefanya kile, lakini hakuna ukosoaji wowote, wenye nia ya kujenga, hivyo kumuonyeshea Magufuli is so perfect as if Magufuli ni malaika.

Wachangia mada wamesema katika mijadala mingi ya kutathmini utendaji wa Magufuli, wanaitwa kutoa tathmini ni mawasiri na watendani wa serikali, yaani unaitathmini serikali kwa kuwaita waserikali wajitathmini, objectivity itatoka wapi?.

Tathmini ya kweli ya miaka miwili ya Magufuli, ilipaswa kufanya na watu independent walio nje ya mfumo wa serikali, kama private sector,civil societies na media ambayo ndio ina wajibu wa kuwa ni jicho la jamii kwa serikali, na jicho la serikali kwa jamii, lakini media yetu imeelezewa kushindwa kabisa kuitathmini serikali ya Magufuli objectively, hivyo imeshindwa kutimiza wajibu wake ipasavyo.

Edwin Soko anasema media haikuwatendea haki Watanzania, kwa media kusifu tuu kila anachofanya Magufuli bila kufanya analysis, what does that mean.

Bulendu amesema, kati ya vitu vikubwa kabisa ambavyo media haiwatendei haki Watanzania, ni kutoonyeshwa live kwa Bunge live, ametoa rai kwa serikali kupitia kwa Waziri Mwakyembe, kuliangalia upya na kuwatendea haki Watanzania
Kipindi kimekwisha

Paskali
 
Daniel Agger

Daniel Agger

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Messages
3,107
Likes
3,295
Points
280
Daniel Agger

Daniel Agger

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2013
3,107 3,295 280
Wewe kwa mwanatasnia kuwa wazi unaiona vipi hii miaka 2 ya mkulu kwa upande wa media?

Kwangu mimi media hazina uhuru katika utawala huu, zinatakiwa kuripoti yale tu yanayoipendeza serikal ndio maana wakosoaji huishia kutishwa na kufungiwa vyombo vyao
 
Daniel Agger

Daniel Agger

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Messages
3,107
Likes
3,295
Points
280
Daniel Agger

Daniel Agger

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2013
3,107 3,295 280
No bunge live lakini kuna coverage ya matukio ya serikali hadi ya DAB

Hii pia ni habari mbaya kwa uhuru na haki ya kupata habari
 
tusionacho

tusionacho

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2016
Messages
275
Likes
510
Points
180
Age
36
tusionacho

tusionacho

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2016
275 510 180
Kifupi ni udikteta wa kufungia vyombo vyote vinavyokosoa na kumulika uozo wa serikali hii ya awamu ya 5 hata vyombo vichache vya habari visivyo fungiwa vimetishwa na baba Jessica mwenyewe na kingereza chake cha watch it badala ya watch out aliviambia vyombo habari msifikiri mna uhuru kiasi hicho.
 
Janken jr

Janken jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Messages
646
Likes
550
Points
180
Janken jr

Janken jr

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2016
646 550 180
Wanabodi,

Naangalia kipindi cha Jito Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa na Star TV, kikijadili miaka miaka miwili ya rais Magufuli madarakani, jee media ya Tanzania, imetimiza wajibu wake as a watchdog of the society kwa kufanya tathmini ya performance ya Magufuli, with objectivity na impartiality?.

Panelists ni Edwin Soko na Yohani chini ya moderation ya nguli Dotto Emmanuel Bulendu, wamepiga madogo makubwa mwanzo mwisho, kuhusu role ya media yetu, katika uwezo wa kufanya tathmini kwa kutumia analytical reporting kwa kuitathmini miaka miwili ya Magufuli, kwa kuzungumzia mafanikio yake, lakini pia kuzungumzia mapungufu yake, au kwa kuikosoa , badala yake media imekuwa ni sehemu ya wapiga debe wa Magufuli kwa kusifu tuu, kuwa Magufuli amefanya hiki, amefanya kile, lakini hakuna ukosoaji wowote, wenye nia ya kujenga, hivyo kumuonyeshea Magufuli is so perfect as if Magufuli ni malaika.

Wachangia mada wamesema katika mijadala mingi ya kutathmini utendaji wa Magufuli, wanaitwa kutoa tathmini ni mawasiri na watendani wa serikali, yaani unaitathmini serikali kwa kuwaita waserikali wajitathmini, objectivity itatoka wapi?.

Tathmini ya kweli ya mi iaka miwili ya Magufuli, ilipaswa kufanya na watu independent walio nje ya mfumo wa serikali, kama private sector,civil societies na media ambayo ndio ina wajibu wa kuwa ni jicho la jamii kwa serikali, na jicho la serikali kwa jamii, lakini media yetu imeelezewa kushindwa kabisa kuitathmini serikali ya Magufuli objectively, hivyo imeshindwa kutimiza wajibu wake ipasavyo.

Edwin Soko anasema media haikuwatendea haki Watanzania, kwa media kusifu tuu kila anachofanya Magufuli bila kufanya analysis, what does that mean.
Edwin Soko anasema media haikuwatendea haki Watanzania, kwa media kusifu tuu kila anachofanya Magufuli bila kufanya analysis, what does that mean.

Bulendu amesema, kati ya vitu vikubwa kabisa ambavyo media haiwatendei haki Watanzania, ni kutoonyeshwa live kwa Bunge live, ametoa rai kwa serikali kupitia kwa Waziri Mwakyembe, kuliangalia upya na kuwatendea haki Watanzania
Kipindi kimekwisha

Paskali
mmepigwa ganzi mayalla,kwani wanaokosoa wanakiona cha moto,wengi wanavizia mkate kupitia asante ya sizo kwa aidha uteuzi au vinginevyo.si unajua njaa mbaya sana hupofusha uwezo wa akili
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
20,799
Likes
14,997
Points
280
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
20,799 14,997 280
Wanabodi,

Naangalia kipindi cha Jito Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa na Star TV, kikijadili miaka miaka miwili ya rais Magufuli madarakani, jee media ya Tanzania, imetimiza wajibu wake as a watchdog of the society kwa kufanya tathmini ya performance ya Magufuli, with objectivity na impartiality?.

Panelists ni Edwin Soko na Yohani chini ya moderation ya nguli Dotto Emmanuel Bulendu, wamepiga madogo makubwa mwanzo mwisho, kuhusu role ya media yetu, katika uwezo wa kufanya tathmini kwa kutumia analytical reporting kwa kuitathmini miaka miwili ya Magufuli, kwa kuzungumzia mafanikio yake, lakini pia kuzungumzia mapungufu yake, au kwa kuikosoa , badala yake media imekuwa ni sehemu ya wapiga debe wa Magufuli kwa kusifu tuu, kuwa Magufuli amefanya hiki, amefanya kile, lakini hakuna ukosoaji wowote, wenye nia ya kujenga, hivyo kumuonyeshea Magufuli is so perfect as if Magufuli ni malaika.

Wachangia mada wamesema katika mijadala mingi ya kutathmini utendaji wa Magufuli, wanaitwa kutoa tathmini ni mawasiri na watendani wa serikali, yaani unaitathmini serikali kwa kuwaita waserikali wajitathmini, objectivity itatoka wapi?.

Tathmini ya kweli ya miaka miwili ya Magufuli, ilipaswa kufanya na watu independent walio nje ya mfumo wa serikali, kama private sector,civil societies na media ambayo ndio ina wajibu wa kuwa ni jicho la jamii kwa serikali, na jicho la serikali kwa jamii, lakini media yetu imeelezewa kushindwa kabisa kuitathmini serikali ya Magufuli objectively, hivyo imeshindwa kutimiza wajibu wake ipasavyo.

Edwin Soko anasema media haikuwatendea haki Watanzania, kwa media kusifu tuu kila anachofanya Magufuli bila kufanya analysis, what does that mean.
Edwin Soko anasema media haikuwatendea haki Watanzania, kwa media kusifu tuu kila anachofanya Magufuli bila kufanya analysis, what does that mean.

Bulendu amesema, kati ya vitu vikubwa kabisa ambavyo media haiwatendei haki Watanzania, ni kutoonyeshwa live kwa Bunge live, ametoa rai kwa serikali kupitia kwa Waziri Mwakyembe, kuliangalia upya na kuwatendea haki Watanzania
Kipindi kimekwisha

Paskali
Kichwa cha habari hii kimenishawishi nisisome andiko lako bali nikuambie kitu wewe Pascal Mayalla

Inaonekana huzithamini social media na michango tunayotoa ni kama huioni vile!!

Tuambie na utuonyeshe unasimamia nini mkuu!
 
xavia jr

xavia jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Messages
918
Likes
1,892
Points
180
xavia jr

xavia jr

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2015
918 1,892 180
Mkulu mwenyewe hataki kupingwa, Wacha tumshangilie mana si kila anae shangilia anasifu wengine wanazomea......√√√
 
kirikou1

kirikou1

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2016
Messages
3,440
Likes
4,124
Points
280
Age
26
kirikou1

kirikou1

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2016
3,440 4,124 280
Media wamegundua ili waweze ku-survive lazima waseme kile bwana yule anapenda kusikiza.
Tuna miaka mingine nane either kuwa mibaya zaidi au kubaki kama sasa.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake
 
Billy Walters II

Billy Walters II

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Messages
1,811
Likes
2,904
Points
280
Billy Walters II

Billy Walters II

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2017
1,811 2,904 280
Mkuu Pasco, asante kwa kutufikishia taarifa hii, maana kiekweli kuna watu hatukupata muda wa kuangalia hicho kipindi, wewe kama mwanahabari nguli na mmoja ninayeamini kwamba uko huru (moderate independent) kwa kiasi fulani, unalielezeaje hilo?

I mean, nini maoni yako juu ya hiyo topic?

Ningependa unijibu kwa kina na ikibidi uweke vielelezo ka baadhi ya majibu.
 
C

chabusalu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Messages
6,592
Likes
3,897
Points
280
C

chabusalu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2016
6,592 3,897 280
Wanabodi,

Naangalia kipindi cha Jito Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa na Star TV, kikijadili miaka miaka miwili ya rais Magufuli madarakani, jee media ya Tanzania, imetimiza wajibu wake as a watchdog of the society kwa kufanya tathmini ya performance ya Magufuli, with objectivity na impartiality?.

Panelists ni Edwin Soko na Yohani chini ya moderation ya nguli Dotto Emmanuel Bulendu, wamepiga madogo makubwa mwanzo mwisho, kuhusu role ya media yetu, katika uwezo wa kufanya tathmini kwa kutumia analytical reporting kwa kuitathmini miaka miwili ya Magufuli, kwa kuzungumzia mafanikio yake, lakini pia kuzungumzia mapungufu yake, au kwa kuikosoa , badala yake media imekuwa ni sehemu ya wapiga debe wa Magufuli kwa kusifu tuu, kuwa Magufuli amefanya hiki, amefanya kile, lakini hakuna ukosoaji wowote, wenye nia ya kujenga, hivyo kumuonyeshea Magufuli is so perfect as if Magufuli ni malaika.

Wachangia mada wamesema katika mijadala mingi ya kutathmini utendaji wa Magufuli, wanaitwa kutoa tathmini ni mawasiri na watendani wa serikali, yaani unaitathmini serikali kwa kuwaita waserikali wajitathmini, objectivity itatoka wapi?.

Tathmini ya kweli ya miaka miwili ya Magufuli, ilipaswa kufanya na watu independent walio nje ya mfumo wa serikali, kama private sector,civil societies na media ambayo ndio ina wajibu wa kuwa ni jicho la jamii kwa serikali, na jicho la serikali kwa jamii, lakini media yetu imeelezewa kushindwa kabisa kuitathmini serikali ya Magufuli objectively, hivyo imeshindwa kutimiza wajibu wake ipasavyo.

Edwin Soko anasema media haikuwatendea haki Watanzania, kwa media kusifu tuu kila anachofanya Magufuli bila kufanya analysis, what does that mean.
Edwin Soko anasema media haikuwatendea haki Watanzania, kwa media kusifu tuu kila anachofanya Magufuli bila kufanya analysis, what does that mean.

Bulendu amesema, kati ya vitu vikubwa kabisa ambavyo media haiwatendei haki Watanzania, ni kutoonyeshwa live kwa Bunge live, ametoa rai kwa serikali kupitia kwa Waziri Mwakyembe, kuliangalia upya na kuwatendea haki Watanzania
Kipindi kimekwisha

Paskali
Ni kweli, sio tu haifai bali ni "kufanyia usanii wananchi" kwa vyombo vya habari kutumia mawaziri na akina Dk Abbas kufanya tathmini ya miaka miwili ya Rais Magufuli. Lakini pia, akina Soko wanapaswa kufahamu kuwa vyombo vya habari pia vinatakiwa kuwa makini zaidi kwenye kufanya selection ya sources hata kutoka kwenye sector binafsi. Kwa mfano, kwa mwelekeo ulivyo ni "kufanyia usanii wananchi" kwa chombo cha habari kutumia watu wa aina ya mzee Simbeye wa sekta binafsi kufanya tathimini ya miaka miwili ya Rais Magufuli! Media kusifu tu kila kinachofanywa na Rais Magufuli ni msiba mkubwa mno kwa nchi. Inasikitisha mno mno mno!
 
kipara kipya

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Messages
5,431
Likes
5,448
Points
280
kipara kipya

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined May 2, 2016
5,431 5,448 280
Ndani ya miaka miwili media hazijatenda haki isipokua zimeonyesha ushabiki wa kisiasa na kuangalia biashara ya nani anauza!
 
Ndikwega

Ndikwega

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
4,740
Likes
2,269
Points
280
Ndikwega

Ndikwega

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2012
4,740 2,269 280
Nchi hawezi Kusogea,Mbali kwa Kusifiwa tu mtendaji Mkuu wa Serikali. Awamu hii itafanya Worse kuliko awamu zote Zilizopita na liko Wazi. Haiwezekani Taifa Kubwa kama hili liongozwe na Akili ya Mtu mmoja tu, maanake Wote tuliyobaki ni Mbumbumbu wa Kupelekeshwa na yeye!
 
sifi leo

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Messages
2,377
Likes
2,034
Points
280
sifi leo

sifi leo

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2012
2,377 2,034 280
Media haijafanya jambo lolote siniori zaid wamekuwa watu wa kujipendekeza utawala unazindua miladi ya kikwete heti media zinaripot awamu hii ndo imefanya yani nchi hii haina journalist,tuna wafia njaa
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,779
Likes
25,180
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,779 25,180 280
Media zinazotimiza wajibu zinafungiwa mara moja, utawala wa kidikteta haswa.
 
Forum statistics

Threads 1,238,176
Members 475,830
Posts 29,312,038