Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Wanabodi,
Naangalia kipindi cha Jito Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa na Star TV, kikijadili miaka miaka miwili ya rais Magufuli madarakani, jee media ya Tanzania, imetimiza wajibu wake as a watchdog of the society kwa kufanya tathmini ya performance ya Magufuli, with objectivity na impartiality?.
Panelists ni Edwin Soko na Yohani chini ya moderation ya nguli Dotto Emmanuel Bulendu, wamepiga madogo makubwa mwanzo mwisho, kuhusu role ya media yetu, katika uwezo wa kufanya tathmini kwa kutumia analytical reporting kwa kuitathmini miaka miwili ya Magufuli, kwa kuzungumzia mafanikio yake, lakini pia kuzungumzia mapungufu yake, au kwa kuikosoa , badala yake media imekuwa ni sehemu ya wapiga debe wa Magufuli kwa kusifu tuu, kuwa Magufuli amefanya hiki, amefanya kile, lakini hakuna ukosoaji wowote, wenye nia ya kujenga, hivyo kumuonyeshea Magufuli is so perfect as if Magufuli ni malaika.
Wachangia mada wamesema katika mijadala mingi ya kutathmini utendaji wa Magufuli, wanaitwa kutoa tathmini ni mawasiri na watendani wa serikali, yaani unaitathmini serikali kwa kuwaita waserikali wajitathmini, objectivity itatoka wapi?.
Tathmini ya kweli ya miaka miwili ya Magufuli, ilipaswa kufanya na watu independent walio nje ya mfumo wa serikali, kama private sector,civil societies na media ambayo ndio ina wajibu wa kuwa ni jicho la jamii kwa serikali, na jicho la serikali kwa jamii, lakini media yetu imeelezewa kushindwa kabisa kuitathmini serikali ya Magufuli objectively, hivyo imeshindwa kutimiza wajibu wake ipasavyo.
Edwin Soko anasema media haikuwatendea haki Watanzania, kwa media kusifu tuu kila anachofanya Magufuli bila kufanya analysis, what does that mean.

Bulendu amesema, kati ya vitu vikubwa kabisa ambavyo media haiwatendei haki Watanzania, ni kutoonyeshwa live kwa Bunge live, ametoa rai kwa serikali kupitia kwa Waziri Mwakyembe, kuliangalia upya na kuwatendea haki Watanzania
Kipindi kimekwisha
Paskali