October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,124
- 1,983
Hivi ni rekodi ambayo haitakuja kuwekwa hivi karibuni tangu demokrasia ya vyama vingi mwaka 1992. Tutamaliza salama miaka 25 kibindoni tukiwa Ikulu. Inshallah!
Ikiwezekana tuilipize ya Nyerere au unasemaje?
1964-1985 ni miaka mingapi au wazungumzia record ganiYeshee! Siye 15 yatutosha. Kisha tutawapa Suprise yenu 2030
Ndiye uliyemuua Magufuli siyo?Hivi ni rekodi ambayo haitakuja kuwekwa hivi karibuni tangu demokrasia ya vyama vingi mwaka 1992. Tutamaliza salama miaka 25 kibindoni tukiwa Ikulu. Inshallah!
Ikiwezekana tuilipize ya Nyerere au unasemaje?
Hakuna Tanganyika,nioneshe ofisi ya serikali ya TanganyikaMzanzibari anaweza kuwa Mkuu wa wilaya ndani ya ardhi ya Tanganyika ila Mtanganyika hawezi kuwa hata Mtendaji wa Kata huko Zanzibar,,
Mpemba anaweza kuchaguliwa akawa Diwani, Mbunge au Rais huku Bara,, ila wewe Mnyamwezi huwezi hata penya Kura ya Maoni huko Zanzibar...
Njaa na viraka-nyerere,ukosefu wa kipato na ufisadi-mkapa, ufisadi,udikteta uchwara,kuua uchumi-maguHongereni, wagalatia wanakwama kwa sababu ya ubinafsi wa Kanisa. Wanaona ili waendelee kuila na kuitafuna nchi hii lazima Waccompromise na wavaa kobazi. Na wavaa kobazi wanajua kabisa akili za kuongoza hawana lakini lazima wapewe tu hijo hiyo.Ndiyo maana wakiongoza fulu kufuja mirathi. Matatizo ya Nchi hii mzizi ni ubinafsi wa Kanisa.
Haha umeona jibu lako ulilonijibu mwenye thread ulianzishie uzi kabisa. We pray for Dkt Samia ila ahakikishe maslahi ya wapiga kura anayazingatia na siyo kuajiri wenye majina ya kiislamu kwenye taasisi za umma halafu wanaenda na majina ya kikristo huku wanaenda msikitini. Na hii campaign ya kuifanya Tanzania dola ya kiislamu na mbinu za kutokomeza Ukristo ni mbinu chafu inaweza leta shida huko mbeleniHivi ni rekodi ambayo haitakuja kuwekwa hivi karibuni tangu demokrasia ya vyama vingi mwaka 1992. Tutamaliza salama miaka 25 kibindoni tukiwa Ikulu. Inshallah!
Usisahau wa tatu alikuta kapu tupu akalijaza, wa tano naye alikuta kapu tupu. Si unawajua wanachojua kushinda vibarazaniNjaa na viraka-nyerere,ukosefu wa kipato na ufisadi-mkapa, ufisadi,udikteta uchwara,kuua uchumi-magu
Akili wanayo hawa basi? Shida tupu1964-1985 ni miaka mingapi au wazungumzia record gani
Kuna sehemu nimeitaja "Serikali ya Tanganyika"...??Hakuna Tanganyika,nioneshe ofisi ya serikali ya Tanganyika
Mzanzibari anaweza kuwa Mkuu wa wilaya ndani ya ardhi ya Tanganyika ila Mtanganyika hawezi kuwa hata Mtendaji wa Kata huko Zanzibar,,
Mpemba anaweza kuchaguliwa akawa Diwani, Mbunge au Rais huku Bara,, ila wewe Mnyamwezi huwezi hata penya Kura ya Maoni huko Zanzibar...
Ukikaa ukatafakari Kwa kina kabisa Kuna wakati naona kama Nyerere alijichosha tu kupigania uhuru Kwa watu ambao hata hawana uwezo wa kujiongoza
Watakufa sana mwakaniHata yule jamaa alifikiri atatawala mda mrefu lakini kikatokea Cha kutokea, dhulma hailipi
Una undugu na Mungu?Hivi ni rekodi ambayo haitakuja kuwekwa hivi karibuni tangu demokrasia ya vyama vingi mwaka 1992. Tutamaliza salama miaka 25 kibindoni tukiwa Ikulu. Inshallah!