Miaka 14 ya utawala wa Mbowe imetosha CHADEMA

Miaka 14 ya utawala wa Mbowe imetosha CHADEMA

Ccm mnaumia sana na mbowe
Pamoja na hayo ata akija mwenyekiti mwingine ila atoke kilimanjaro ñi hivyo tu.
Habari wakuu,

Leo naomba niwayetishie habari niliyovujishiwa na chanzo changu makini sana ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo mods naomba msiufute uzi huu kwani kwa sababu za kumlinda mtoa habari naomba nikiifadhi chazo hicho kwa usalama wake na familia yake but ni mmoja wa wajumbe wa baraza kuu la chama.

Kwa mujibu wa chazo hicho kuwa mambo sio mambo ndani ya chama hivyo kumeandaliwa mapinduzi makubwa sana na watu wenye uchungu na cdm yenye lengo la kukomesha utawala wa kidikteta na kikanda wa Mh. Mbowe uliodumu kwa miaka zaidi ya 14.

Kwa mujibu wa chazo cha kuaminika, mapinduzi hayo yanaratibiwa kwa kiasi kikubwa na wanaCHADEMA asilia wasio na furaha na Mwenyekiti kubadilisha gia angani na kumpokea Lowassa na makapi mengine ya CCM jambo lililopelekea chama kupoteza hamasa kwa watanzania wengi.

Mapinduzi hayo kwa kiasi kikubwa yanadaowa kuratibiwa na mbunge wa Kibamba, Mh. Mnyika na Mbunge wa Ubungo, mh Kubenea pamoja na Meya wa Ubungo mh Jacob.

Sababu zinazopelekea vuguvugu la mapinduzi hayo ni:
1. Matumizi mabaya ya ruzuku na pesa za chama yanayofanywa na mh mbowe kitu kinachopelekea hadi leo chama kukosa ofisi hata ya chumba kimoja

2. Kuwapoteza watu wote wanaopinga mawazo ya mwenyekiti na unyimwaji wa demokrasia ndani ya chama unaofanywa na Mh. Mbowe

3. Tuhuma za rushwa ya bilion 10 kutoka kwa Lowassa iliyopelekea akapatiwa ridhaa ya kugombea urais

4. Mbowe kung'ang'ania madaraka

5. Mali za chama kuandikwa kwa jina la Mbowe

6. Kashfa za kuuza ngada na ukwepaji wa kodi zinazomkabili Mbowe zinakinajisi chama

7. Matumizi ya cheo chake kunyanyasa wanawake kwa kuwaomba rushwa ya ngono

imeandikwa na
MASENU MSUYA
0784843475
 
karai umekuja na hoja dhaifu inamaana cdm hakuna kiongozi mwingine zaid ya mbowe je mbowe akifa ndo chama kimekufa

sasa akifa si ndio itakua vizuri cdm ife ndo mfurahi mbona mbowe anawanyima sn usingizi ,hats kama cdm ikifa nyie ccm mtaathirika vipi ccm achaneni na cdm jengeni viwanda au mbowe ndo kikwazo cha viwanda kujengwa
 
kwa wapenz wakubwa wa maendeleo tunahiraji upinzani weny kutoa mawazo mbadala yenye kuleta maendeleo
 
Nionavyo Mimi Magufuli na ccm yake, angeluhusu tu mikutano ya siasa kwani watanzania kwa ujumla hasa wakiwemo wana ccm, wanashauri sana maranyingi kwamba mbowe kachokwa kwa kushikilia nafasi hiyo ya uwenyekiti kwa muda mrefu. Hivyo chama cha Chadema hakina madhara kwa ccm.
 
Kwa kweli Mbowe hana chake, hivyo tunaomba Magu aruhusu shughuli za vyama vya siasa ziendelee mbona Mbowe na chadema yake hana chake tena? Sasa cha kuogopa ni nini?
 
mleta mada ht kiswahili hajui.eti MLUHUSU ....debe kabisa
 
Km kachokwa si ndio furaha ya ccm mbona km mna muogopa sana nyie mazwazwa!
 
Nionavyo Mimi Magufuli na ccm yake, angeluhusu tu mikutano ya siasa kwani watanzania kwa ujumla hasa wakiwemo wana ccm, wanashauri sana maranyingi kwamba mbowe kachokwa kwa kushikilia nafasi hiyo ya uwenyekiti kwa muda mrefu. Hivyo chama cha Chadema hakina madhara kwa ccm.
Matako ruhusuni muone nani aliechokwa mafisi nyie
 
Kuna muda huwa nikimuangalia Mbowe kwa jicho la tatu huwa naona kama ni mtu anayeona mbali sana,kama kuna watu aliwakaribisha hadi ndani chumbani na leo wako upande wa pili,unaanzaje kumpa mtu chama kwa kumuamini haraka haraka tuu,atakuja kumpa mtu madaraka aliyoa nayo ila si kwa kukurupuka kiasi hicho
 
Nimekuelewa sana Kamanda asiyekuelewa ni bahati mbaya sana.
Mungu wabariki makamanda wa CHADEMA, chama imara, chama ambacho hakipambani na vyama vya siasa peke yake, ni chama ambacho kinapambana na polisi pesa serikali na CCM,ruhusuni .
 
Mwacheni mbowe afanye kazi yake ,wewe ndo umechokwa kwenu kwa baba yako na mama ,cyo mbowe wetu,pambana mbowe hakika utatuvusha tu .
 
Nionavyo Mimi Magufuli na ccm yake, angeluhusu tu mikutano ya siasa kwani watanzania kwa ujumla hasa wakiwemo wana ccm, wanashauri sana maranyingi kwamba mbowe kachokwa kwa kushikilia nafasi hiyo ya uwenyekiti kwa muda mrefu. Hivyo chama cha Chadema hakina madhara kwa ccm.
Nmekuelewa sana mkuu naunga mkono hoja
 
Watu wengine wamekua wakiongelea kuhusu ukomo wa madaraka lakini matamu.

Hivi katiba ya Chadema haijaweka ukomo kwa mtu kugombea uwenyekiti? Tusaidieni wana JF
 
Back
Top Bottom