Miaka 14 ya utawala wa Mbowe imetosha CHADEMA

Habari wakuu,

Leo naomba niwayetishie habari niliyovujishiwa na chanzo changu makini sana ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo mods naomba msiufute uzi huu kwani kwa sababu za kumlinda mtoa habari naomba nikiifadhi chazo hicho kwa usalama wake na familia yake but ni mmoja wa wajumbe wa baraza kuu la chama.

Kwa mujibu wa chazo hicho kuwa mambo sio mambo ndani ya chama hivyo kumeandaliwa mapinduzi makubwa sana na watu wenye uchungu na cdm yenye lengo la kukomesha utawala wa kidikteta na kikanda wa Mh. Mbowe uliodumu kwa miaka zaidi ya 14.

Kwa mujibu wa chazo cha kuaminika, mapinduzi hayo yanaratibiwa kwa kiasi kikubwa na wanaCHADEMA asilia wasio na furaha na Mwenyekiti kubadilisha gia angani na kumpokea Lowassa na makapi mengine ya CCM jambo lililopelekea chama kupoteza hamasa kwa watanzania wengi.

Mapinduzi hayo kwa kiasi kikubwa yanadaowa kuratibiwa na mbunge wa Kibamba, Mh. Mnyika na Mbunge wa Ubungo, mh Kubenea pamoja na Meya wa Ubungo mh Jacob.

Sababu zinazopelekea vuguvugu la mapinduzi hayo ni:
1. Matumizi mabaya ya ruzuku na pesa za chama yanayofanywa na mh mbowe kitu kinachopelekea hadi leo chama kukosa ofisi hata ya chumba kimoja

2. Kuwapoteza watu wote wanaopinga mawazo ya mwenyekiti na unyimwaji wa demokrasia ndani ya chama unaofanywa na Mh. Mbowe

3. Tuhuma za rushwa ya bilion 10 kutoka kwa Lowassa iliyopelekea akapatiwa ridhaa ya kugombea urais

4. Mbowe kung'ang'ania madaraka

5. Mali za chama kuandikwa kwa jina la Mbowe

6. Kashfa za kuuza ngada na ukwepaji wa kodi zinazomkabili Mbowe zinakinajisi chama

7. Matumizi ya cheo chake kunyanyasa wanawake kwa kuwaomba rushwa ya ngono

imeandikwa na
MASENU MSUYA
0784843475
mkuu umeona mbali sana..Mbowe must step down
 
Mbowe must Go.

Hii tuhuma ya madawa na kukwepa kodi ni mbaya sana kwa usitawi wa chadema
 
Kwahiyo yale tuliyoambiwa juzi kutumia mitandao kwa nguvu zote ili kujib hoja za wapinzani na kuanzisha hoja mzito ili kuumaliza upinzani wewe ndo umeshaanza?
Mimi nilikuwepo kwenye kikao cha UVCCM Idodomya na magamba yangu ilhali moyoni mimi ni wa magwanda.
Tunawabana sana mitandaoni wana CCM na hamjui kwanini mpaka leo. Tunawabana kwakuwa wapinzani wengi ni wasomi, pia wapinzani tuko huru kutumia akili zetu tofauti na vijana wa CCM.
Ni aibu sana kuitetea CCM mitandaoni(hadharani).
 
Habari wakuu,

Leo naomba niwayetishie habari niliyovujishiwa na chanzo changu makini sana ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo mods naomba msiufute uzi huu kwani kwa sababu za kumlinda mtoa habari naomba nikiifadhi chazo hicho kwa usalama wake na familia yake but ni mmoja wa wajumbe wa baraza kuu la chama.

Kwa mujibu wa chazo hicho kuwa mambo sio mambo ndani ya chama hivyo kumeandaliwa mapinduzi makubwa sana na watu wenye uchungu na cdm yenye lengo la kukomesha utawala wa kidikteta na kikanda wa Mh. Mbowe uliodumu kwa miaka zaidi ya 14.

Kwa mujibu wa chazo cha kuaminika, mapinduzi hayo yanaratibiwa kwa kiasi kikubwa na wanaCHADEMA asilia wasio na furaha na Mwenyekiti kubadilisha gia angani na kumpokea Lowassa na makapi mengine ya CCM jambo lililopelekea chama kupoteza hamasa kwa watanzania wengi.

Mapinduzi hayo kwa kiasi kikubwa yanadaowa kuratibiwa na mbunge wa Kibamba, Mh. Mnyika na Mbunge wa Ubungo, mh Kubenea pamoja na Meya wa Ubungo mh Jacob.

Sababu zinazopelekea vuguvugu la mapinduzi hayo ni:
1. Matumizi mabaya ya ruzuku na pesa za chama yanayofanywa na mh mbowe kitu kinachopelekea hadi leo chama kukosa ofisi hata ya chumba kimoja

2. Kuwapoteza watu wote wanaopinga mawazo ya mwenyekiti na unyimwaji wa demokrasia ndani ya chama unaofanywa na Mh. Mbowe

3. Tuhuma za rushwa ya bilion 10 kutoka kwa Lowassa iliyopelekea akapatiwa ridhaa ya kugombea urais

4. Mbowe kung'ang'ania madaraka

5. Mali za chama kuandikwa kwa jina la Mbowe

6. Kashfa za kuuza ngada na ukwepaji wa kodi zinazomkabili Mbowe zinakinajisi chama

7. Matumizi ya cheo chake kunyanyasa wanawake kwa kuwaomba rushwa ya ngono

imeandikwa na
MASENU MSUYA
0784843475
Huyo kumwambia aachie umwenyekiti ni Sawa na kumpigia mbuzi gitaa acheze, ni wa milele huyo piga ua
 
We we we weeeee! Nani wa kumng'oa! Uliza waliojaribu wote waliishia wapi! Wengine bado wamelazwa!!
 
Upinzani mnaoupata kwa huyu jamaa ndo mana mnatamani astafu....na kwa taarifa yenu haachii mpaka awadondoshe
 
Naodha akimbii chombo kisa mawimbi,bado yupo aweke chombo sawa.Nunue wapiga kura sio viongozi,kuna yeyote alienunuliwa keshawahi sepa na kijiji?.
mie nimezungumizia maswala y kuweka demokrasia pana ndani ya chama ili kujenga chama imara chenye ushindan

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu,

Leo naomba niwayetishie habari niliyovujishiwa na chanzo changu makini sana ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo mods naomba msiufute uzi huu kwani kwa sababu za kumlinda mtoa habari naomba nikiifadhi chazo hicho kwa usalama wake na familia yake but ni mmoja wa wajumbe wa baraza kuu la chama.

Kwa mujibu wa chazo hicho kuwa mambo sio mambo ndani ya chama hivyo kumeandaliwa mapinduzi makubwa sana na watu wenye uchungu na cdm yenye lengo la kukomesha utawala wa kidikteta na kikanda wa Mh. Mbowe uliodumu kwa miaka zaidi ya 14.

Kwa mujibu wa chazo cha kuaminika, mapinduzi hayo yanaratibiwa kwa kiasi kikubwa na wanaCHADEMA asilia wasio na furaha na Mwenyekiti kubadilisha gia angani na kumpokea Lowassa na makapi mengine ya CCM jambo lililopelekea chama kupoteza hamasa kwa watanzania wengi.

Mapinduzi hayo kwa kiasi kikubwa yanadaowa kuratibiwa na mbunge wa Kibamba, Mh. Mnyika na Mbunge wa Ubungo, mh Kubenea pamoja na Meya wa Ubungo mh Jacob.

Sababu zinazopelekea vuguvugu la mapinduzi hayo ni:
1. Matumizi mabaya ya ruzuku na pesa za chama yanayofanywa na mh mbowe kitu kinachopelekea hadi leo chama kukosa ofisi hata ya chumba kimoja

2. Kuwapoteza watu wote wanaopinga mawazo ya mwenyekiti na unyimwaji wa demokrasia ndani ya chama unaofanywa na Mh. Mbowe

3. Tuhuma za rushwa ya bilion 10 kutoka kwa Lowassa iliyopelekea akapatiwa ridhaa ya kugombea urais

4. Mbowe kung'ang'ania madaraka

5. Mali za chama kuandikwa kwa jina la Mbowe

6. Kashfa za kuuza ngada na ukwepaji wa kodi zinazomkabili Mbowe zinakinajisi chama

7. Matumizi ya cheo chake kunyanyasa wanawake kwa kuwaomba rushwa ya ngono

imeandikwa na
MASENU MSUYA
0784843475
Hapo nakuunga mkono mkuu even me a'm oposition side but idid'nt agree to see one leader to be a top by all time until now.
 
Pamoja na kwamba hakuna demokrasia ndani ya ccm wakati wa kumchagua mwenyekiti, kwa maana ya uwezo wa kumchagua kiongozi atakikanaye ukomo wa uongozi wa mwenyekiti upo by default. Ukomo huo unawekwa na katiba ya nchi inayomlazimisha rais kuhudumu kwa muda usiozidi miaka 10.
 
mkuu kutowaandaa wanachama kuwa viongoz wakubw wa kitaifa kwa cdm kunawafanya kutegemea makapi ya ccm
 
Back
Top Bottom