Miaka 14 ya utawala wa Mbowe imetosha CHADEMA

Miaka 14 ya utawala wa Mbowe imetosha CHADEMA

Developer IOS

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Posts
1,456
Reaction score
1,410
Habari wakuu,

Leo naomba niwayetishie habari niliyovujishiwa na chanzo changu makini sana ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo mods naomba msiufute uzi huu kwani kwa sababu za kumlinda mtoa habari naomba nikiifadhi chazo hicho kwa usalama wake na familia yake but ni mmoja wa wajumbe wa baraza kuu la chama.

Kwa mujibu wa chazo hicho kuwa mambo sio mambo ndani ya chama hivyo kumeandaliwa mapinduzi makubwa sana na watu wenye uchungu na cdm yenye lengo la kukomesha utawala wa kidikteta na kikanda wa Mh. Mbowe uliodumu kwa miaka zaidi ya 14.

Kwa mujibu wa chazo cha kuaminika, mapinduzi hayo yanaratibiwa kwa kiasi kikubwa na wanaCHADEMA asilia wasio na furaha na Mwenyekiti kubadilisha gia angani na kumpokea Lowassa na makapi mengine ya CCM jambo lililopelekea chama kupoteza hamasa kwa watanzania wengi.

Mapinduzi hayo kwa kiasi kikubwa yanadaowa kuratibiwa na mbunge wa Kibamba, Mh. Mnyika na Mbunge wa Ubungo, mh Kubenea pamoja na Meya wa Ubungo mh Jacob.

Sababu zinazopelekea vuguvugu la mapinduzi hayo ni:
1. Matumizi mabaya ya ruzuku na pesa za chama yanayofanywa na mh mbowe kitu kinachopelekea hadi leo chama kukosa ofisi hata ya chumba kimoja

2. Kuwapoteza watu wote wanaopinga mawazo ya mwenyekiti na unyimwaji wa demokrasia ndani ya chama unaofanywa na Mh. Mbowe

3. Tuhuma za rushwa ya bilion 10 kutoka kwa Lowassa iliyopelekea akapatiwa ridhaa ya kugombea urais

4. Mbowe kung'ang'ania madaraka

5. Mali za chama kuandikwa kwa jina la Mbowe

6. Kashfa za kuuza ngada na ukwepaji wa kodi zinazomkabili Mbowe zinakinajisi chama

7. Matumizi ya cheo chake kunyanyasa wanawake kwa kuwaomba rushwa ya ngono

imeandikwa na
MASENU MSUYA
0784843475
 
kama ilivyotosha miaka 54 ya makafiri wa CCM madarakani..
miaka 54 wanakula madarakani, kuachia keki ya taifa wamegoma
moja ya sifa ya kafiri ni kuua wasio hatia..
makafiri wa CCM waliua Wapemba 70 january 27 2001
Wakamuua mawazo kwa mapanga
wengine malizia..
 
Wewe ndugu wa ccm,

Fact 1..hakuna meya wa ubungo anayeitwa LAZARO

FACT 2..Weww ni mwanachama mtiifu wa CCM...Ya chadema hayakuhusu..tuachie sisi
mie nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminiki ni swala la muda tuu
 
Wewe ndugu wa ccm,

Fact 1..hakuna meya wa ubungo anayeitwa LAZARO

FACT 2..Weww ni mwanachama mtiifu wa CCM...Ya chadema hayakuhusu..tuachie sisi
KAMA HIVYO NDIVYO, BASI NA WEWE YA CCM HAYAKUHUSU WAACHIE WENYEWE[ YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE- HII INAWEZEKANA KWELI?
 
kama ilivyotosha miaka 54 ya makafiri wa CCM madarakani..
miaka 54 wanakula madarakani, kuachia keki ya taifa wamegoma
moja ya sifa ya kafiri ni kuua wasio hatia..
makafiri wa CCM waliua Wapemba 70 january 27 2001
Wakamuua mawazo kwa mapanga
wengine malizia..
watanzania wanaipend ccm ndo maana wanaichagua kila siku naona jinamizi la 42 kwa moja bado linawasumbua
 
Back
Top Bottom