Miaka 100 ya kuangushwa Khilafah: Hizb Ut Tahrir yazindua kampeni ya kiulimwengu kwa anuani: "Enyi Waislamu isimamisheni

Kila mtu akitaka dini yake itawale dunia, yeyote hatabaki salama.

Huu ndio upumbavu wa dini. Kujiona wewe ndiye una ukweli wa Mungu na wengine wote wasio katika dini yako wapotofu.

Ndiyo maana wengine tumezikataa dini.
Mimi ni mkristo nakupa hiyo utake usitake ukristo ndio unaotawala dunia kuna vitu vingi sana vipo wazi kikubwa zaidi ni kuzaliwa christo(christmas) dunia nzima inasherekea mbaka mabudha nk na tarehe hii tunayotumia na calenda ni christian system
 
Nahisi imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba dunia
 
Mimi ni mkristo nakupa hiyo utake usitake ukristo ndio unaotawala dunia kuna vitu vingi sana vipo wazi kikubwa zaidi ni kuzaliwa christo(christmas) dunia nzima inasherekea mbaka mabudha nk na tarehe hii tunayotumia na calenda ni christian system
Kwani kusheherekea ni nini?

Unajuaje kwamba huyu kasherekea krismas na sio kwamba yupo katika utaratibu wake wa siku zote tu?

Kipi kiashiria kinachoonesha huyu anasherehekea na huyu hasheherekei?
 
HIZB UT TAHRIR YAZINDUA KAMPENI YA KIULIMWENGU KWA ANUANI:

"ENYI WAISLAMU ISIMAMISHENI"

Kuweni pamoja na wanaofanya kazi ya Kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, Huenda Mwenyezi Mungu (swt) akaiondoa kwayo huzuni hii kutoka kwa wengine kama alivyoiondoa kwa mfano wake huzuni kutoka kwa wabora wa mwanzo.

Rajab 1442 H - 2021 M

#TurudisheniKhilafah
#أقيموا_الخلافة
#YenidenHilafet
#ReturnTheKhilafah
#خلافتکوقائم_ک
Nyie ndo mnasapoti makundi ya kigaidi wanaotaka dola ya kiislamu ama hamsapoti ?

Nyie mnatumia njia gani kutaka kusimamisha dola ya kiislamu hapa tanzania ?

Nitaendelea kuuliza kadri nitakavyo jibiwa.
 
Nyie ndo mnasapoti makundi ya kigaidi wanaotaka dola ya kiislamu ama hamsapoti ?

Nyie mnatumia njia gani kutaka kusimamisha dola ya kiislamu hapa tanzania ?

Nitaendelea kuuliza kadri nitakavyo jibiwa.
Kwanza Tanzania Haina sifa ya kuanzia dola ndugu yetu, Bali khilafah itaanzia nchi kubwa za Waislamu
 
Hata nyie mnaosema hizi dini ni uongo pia ni wabaguzi maana yake mnaona kuwa njia mnayoifuata ya kukataa dini ndio ukweli.

Hivyo bwana kiranga na nyie watu msiokubali dini ni wabaguzi pia

Na wao wanavutia upande wa DINI yao ya kutoamini Mungu, kwa hiyo maana yake naye ni mbaguzi kwa kujiona kwamba imani yake ya kutokuamini Mungu ni bora kuliko imani za kuamini Mungu.

✔✔✔✔
 
Na wao wanavutia upande wa DINI yao ya kutoamini Mungu, kwa hiyo maana yake naye ni mbaguzi kwa kujiona kwamba imani yake ya kutokuamini Mungu ni bora kuliko imani za kuamini Mungu.

✔✔✔✔
Naam haswaaaa mkuu mokaze.

Manake kuna imani ya kuthibitisha na imani ya kukanusha.

Unapothibitisha kitu maana yake unakanusha kinye chake,na unapokanusha kitu maana yake unathibitisha kinyume chake.

Hivyo wapinga dini nao wana imani ya kukanusha dini,wasije sema hiyo sio imani itakuwa kichekesho.
 
Ndugu yangu usiwe na chuki dhidi ya Uisilamu.Anaposema ukharifa huyo ni kiongozi wa Waisilamu kama vile wakristo Kwa Papa,
Papa ni kiongozi wa Wakatoliki. Waprotestanti hawana papa. Khalifa ni kiongozi wa Ummah wa Waislam. Unayajua majukumu ya Khalif wewe au unaongea tu alimradi umeongea?

Sio lazima kulazimisha dini zote zifanane. Kabla haujaongelea imani jifunze angalau vitu vya msingi kabla hujapotosha!
 
Naam haswaaaa mkuu mokaze.

Manake kuna imani ya kuthibitisha na imani ya kukanusha.

Unapothibitisha kitu maana yake unakanusha kinye chake,na unapokanusha kitu maana yake unathibitisha kinyume chake.

Hivyo wapinga dini nao wana imani ya kukanusha dini,wasije sema hiyo sio imani itakuwa kichekesho.
Upo sahihi. Wakana Mungu nao wana yao dini. Hili tulishawahi jadili na Kiranga huko nyuma

Si dini zote zina political system mfumo wa utawala, dini zenye mfumo wa utawala ni tatu tu: Ujamaa, Ubepari, na Uislamu
Ukishasema tu dini yangu ndiyo sahihi, zenu mmekosea, ushataka kumtawala mwingine kinawazo hapo.

Dini zote ni siasa.

Dini ni siasa za kale zilizovikwa joho la utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.

Ni jitihada za kujilimbikizia nguvu, mali, ardhi, watumwa, utawala, ushawishi na utakatifu uliojengwa kwenye uongo.
 
Back
Top Bottom