Diamond ni mkomboz wa sanaa bongo, alichukua kijiti kutoka kwa hayati Kanumba na mpaka sasa anaitendea haki nyota, twaomba kwa mola azidi kupata afya njema maana kwa moto huu bado kuna mengi yatakuja!
Wenye team wana kazi nilichogundua kumchukia chibu chibudee mzee wa otimbi natimbilio ni kupata ugonjwa wa moyo
Mondi ana nyota nzuri Sana I hope mwakani atazidi kufanya vizuri.Wenye team wana kazi nilichogundua kumchukia chibu chibudee mzee wa otimbi natimbilio ni kupata ugonjwa wa moyo
Acha tupende mziki wake tu maisha yake na uswahili wake tumwachie mwenyewe kama anavyosema
Jamaa ana nyota ya kupendwa Sana kila sehemu akikanyaga lazima kuwe na mafuriko ya watuKatika Miaka 10 Ya @diamondplatnumz Niwe Mmoja Wa Mashabiki Watakao Sema Lolote
Binafsi Nimeanza Kumjua Chibu Katika Wimbo Wake Wa Kamwambie Enzi Hizo Nasoma Primary Kiukweli Nilianza Kumuona Mbaali Sana Huyu Jamaa
Ila Hapa Tupo Kuelezea Mafanikio Yake Katika Sanaa Na Mchango Wake Katika Jamii
@diamondplatnumz Wema Na Mchango Wake Unaonekana Hauitaji Kumulika Na Tochi Nikimtizama @harmonize_tz Alipo Toka Na Alipo Naiangalia Taswira Nzima Ya @diamondplatnumz Mafanikio Na Impact Alio Onesha Katika Jamii
Lkn Najivunia Zaidi Lugha Yetu adhiim Inavyo Imbwa Bila Kukosewa Katika majukwaa Yamataifa Ya Ughaibuni
Hii Nikiasi Gani Tanzania Tuna Ambassador Mzuri Mwenye Kuipeperusha Bendera Yataifa Letu
Kujipima Uwezo Wako Katika Mafanikio Nivile Pia Kutizama Unauwezo Kiasi Gani Katika Ushawishi Wa Umma
Nikimtizama @diamondplatnumz Basi Namuona @michaeljackson Muafrika Alie Tikisa Dunia Kwa Ngoma Zake Nakuteka Mioyo Ya Mashabiki Ktk Kona Zote Za Ulimwengu
Yaani Duniani
Binafsi Naweza Sema Diamond Is Best Artist for me 2019
Hongera Naseeb Abdul Katika Miaka 10 Ya Muziki wakoView attachment 1306677
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ana nyota ya kupendwa Sana kila sehemu akikanyaga lazima kuwe na mafuriko ya watu
Binafsi nimesema Diamond angegombea Urais 2020 angeshinda. Bahati mbaya hawa wazee walitubania vijana eti mpaka ufike miaka 40 na ngapi sijui ndo ugombee. Pia nimejifunza hawa wasanii wasijishushe kwa wanasiasa. Wasanii >wanasiasa.
Jamaa ana nyota ya kupendwa Sana kila sehemu akikanyaga lazima kuwe na mafuriko ya watu
Mondi ana nyota nzuri Sana I hope mwakani atazidi kufanya vizuri.
Kwani Hadi sasa hiv una miaka mingapi? Hata Mimi mwenyewe mwaka 2009 nilikuwa nipo primary
Kwani Hadi sasa hiv una miaka mingapi? Hata Mimi mwenyewe mwaka 2009 nilikuwa nipo primary