Miaka 10 ijayo kampuni ya Apple kukosa Soko Afrika

Miaka 10 ijayo kampuni ya Apple kukosa Soko Afrika

Joined
Nov 8, 2017
Posts
66
Reaction score
68
Kampuni maarufu ya Apple miaka 10 ijayo mauzo ya vifaa vyake kama simu,saa,tablet n.k yatapungua kwa kiasi kikubwa kwa soko la Afrika hii ni kutokana na Ushindani kwenye vifaa vya teknolojia duniani.

Hii itasababishwa sana sana na Apple wenyewe kufanya marekebisho machache/kidogo tu na kuweka bidhaa zao sokoni huku bei ikiwa juu mfano matoleo ya iphone 13(2021) na iphone 12(2020).

Binafsi Natabiri;Apple Baada ya miaka 10 itapoteza Soko La Afrika kwa Asilimia takribani 90%.Je wewe Unaonaje miaka 10 ijayo Apple?

p7zz5dxZ.jpg
 
Mimi nime base kwa Afrika.Naona kudorora mno kwa soko lao ndani ya Afrika
nimewahi kusoma mahali kwamba kampuni ya Apple haijawahi kuuza bidhaa zake Africa, na pia mimi siamini kama hata Africa nzima tuache kutumia bidhaa za Apple kwamba watapata Hasara wale watu,huko ulaya wazungu hujipanga mistari kama watoto wa std 2 ili kununua Apple gadgets tena kwa bei kubwa mno
 
Kwa taarifa yako katika strategic plans za makampuni makubwa Africa uwa sio miongoni mwa masoko yao. Inawekwaga kwenye kundi la the rest of the world, na ukiona kuna bidhaa zao ujue most of the time zinapitia kwa middlemen labda wa kutoka Asia au middle east.
 
nimewahi kusoma mahali kwamba kampuni ya Apple haijawahi kuuza bidhaa zake Africa, na pia mimi siamini kama hata Africa nzima tuache kutumia bidhaa za Apple kwamba watapata Hasara wale watu,huko ulaya wazungu hujipanga mistari kama watoto wa std 2 ili kununua Apple gadgets tena kwa bei kubwa mno
Sio hivyo tu, bidhaa nyingi zinazouzwa Africa ni feki
 
Tabia za waafrika zinabadilika zaman watu tulikuwa tunanunua divice Ili u access social network na kuonekana unaendana na wakati lakin mambo yanabadilika watu wanahitaji ubora hard firmware & latest features so sidhan kama wabwana Hawa watakosa soko hizi ni ndoto za Chinese manufacturer
 
Chinese manufacturer wana ndoto mbovu mno kipindi zile bus zao zhongtong na yutong zinaingia watu walidai Zita dominate soko la Africa lakin ni zaidi ya muongo mmoja ni Tanzania pekee ndio nchi inayotumia bus zao Kwa wing katika ukanda wa SADC
 
Back
Top Bottom