Sio alpha male huyo, kwa hiyo sio chaguo la wanawake wa asili, namshauri asijaribu kumchunguza mke wake, ataregret big time. Trust me, hii ni asili, huwezi kuiacha kilaini hivyo, eti several years nilikuwa nje ya nchi. Wanawake Wana majibu zaidi kwenye hili. Ngoja nikae kimya tu.Hongera Sana mkuu..Hakika huendeshwi na kichwa Cha Chini..na hivi ndivyo mwanaume anatakiwa kuwa..[emoji122][emoji122][emoji122]
Hakuna raha kama kuishi na mwanamke unayempenda na yeye akathamini upendo wako.Nadhani ninastahili pongezi! Tokea 2010-2020 nilipomtongoza kwa mara ya kwanza shemeji yenu sikuwahi kuchepuka. Katika kipindi cha miaka mitano ya kwanza nilikua kimasomo mbali na bongo hio kufanya niwepo nchini mwezi mmoja kwa mwaka na bado sikuchepuka! Hadi kufikia kuishi wote tokea ndoa 2013 bado sijachepuka. Asante mungu Mimi ni mwanaume mwaminifu najisifia mwenyewe. Wana JF Naombeni pongezi zangu.
Kwaiyo.mwanaume hawezi kuzuia hisia zake?...yeye akiwaza ngono.lazima aipate regardless of the situation.Sio alpha male huyo, kwa hiyo sio chaguo la wanawake wa asili, namshauri asijaribu kumchunguza mke wake, ataregret big time. Trust me, hii ni asili, huwezi kuiacha kilaini hivyo, eti several years nilikuwa nje ya nchi. Wanawake Wana majibu zaidi kwenye hili. Ngoja nikae kimya tu.
Anaweza kujizuia vizuri tu, na Hilo amelishikilia mwanamke wake, cycle ya mapenzi ameishikilia mwanamke na mafanikio au downfall ya mwanaume ameishikilia mwanamke wake. Mwanaume mwenye mwanamke pycho hawezi kufanikiwa hata siku moja.Kwaiyo.mwanaume hawezi kuzuia hisia zake?...yeye akiwaza ngono.lazima aipate regardless of the situation.
Sijui mkuu..kwanini mwanaume awaze ngono ashindwe kujizuia.Anaweza kujizuia vizuri tu, na Hilo amelishikilia mwanamke wake, cycle ya mapenzi ameishikilia mwanamke na mafanikio au downfall ya mwanaume ameishikilia mwanamke wake. Mwanaume mwenye mwanamke pycho hawezi kufanikiwa hata siku moja.
Swali kwa nini mwanaume awaze ngono na kushindwa kujizuia. Anzia hapo.
Isome hiyo mada vizuri kwa jicho la tatu utaelewa tafsiri yake, use your woman instinct utapata jibu lipo peupe kabisa Ila halionekani kwa mtu anayesoma na kukimbizwa na hisia zake.Sijui mkuu..kwanini mwanaume awaze ngono ashindwe kujizuia.
.Ila Mimi Kama ke. Naweza kujizuia kabisa...
Ila mkuu huyu mleta mada Sio Kwamba Hana hisia Wala hatamani..anastahili pongezi kwa kuweza kusubiria na kushinda nafsi.
Sio jambo rahisi..na wewe unajua kuwa Sio Jambo rahisi
Ila kumbuka kitu kimoja jamaaa hajasema jinsi alivyokuwa anapiga nyetoHongera sana sana sana inawezekana ukiwa na nia..Story za vijiweni ndo zinachangia wakaka wengi kutaka kujaribu kuchepuka ili na wao waonekane wamo. Faida ya kutochepuka ni kuishi kwa amani na kuepuka laana mikosi na magonjwa.
Mkuu...Mimi nimesoma bandiko Kama lilivyo.. Sasa kuanza kutafuta hidden messages.hiyo Ni kazi yenu wanaume mnaelewanaIsome hiyo mada vizuri kwa jicho la tatu utaelewa tafsiri yake, use your woman instinct utapata jibu lipo peupe kabisa Ila halionekani kwa mtu anayesoma na kukimbizwa na hisia zake.
Haya ndio matumizi mabaya ya hela...hela unayo alafu wajisifia kugegeda papuchi moja??!!!Siwezi kua na uhakika sana ila labda ile miaka ya mwanzoni lkn kwa sasa sijaona hio dalili! Na mie usifikilie kua mwaminifu labda wanawake ni tatizo kwangu. Nina kila kitu ambacho mwanamke haruki! Athletic body nyumba magari na pesa sio shida! Najua kuitafuta na ninaipata.
Sio alpha male huyo, kwa hiyo sio chaguo la wanawake wa asili, namshauri asijaribu kumchunguza mke wake, ataregret big time. Trust me, hii ni asili, huwezi kuiacha kilaini hivyo, eti several years nilikuwa nje ya nchi. Wanawake Wana majibu zaidi kwenye hili. Ngoja nikae kimya tu.
Rais wa chaputaNadhani ninastahili pongezi! Tokea 2010-2020 nilipomtongoza kwa mara ya kwanza shemeji yenu sikuwahi kuchepuka. Katika kipindi cha miaka mitano ya kwanza nilikua kimasomo mbali na bongo hio kufanya niwepo nchini mwezi mmoja kwa mwaka na bado sikuchepuka! Hadi kufikia kuishi wote tokea ndoa 2013 bado sijachepuka. Asante mungu Mimi ni mwanaume mwaminifu najisifia mwenyewe. Wana JF Naombeni pongezi zangu.
Jiongeze mdada tangazo la biashara hiloUzi unaenda taratibu kwa sbb watu hawapendi kusikia shuhuda kama hizi
Wanaume waaminifu, wanaojiamini, hawajisifii hadharani. Na hata ushuhuda wake sio rahisi kuupata kama hivi.Uzi unaenda taratibu kwa sbb watu hawapendi kusikia shuhuda kama hizi