mia ishirini kwenye kona shaaa

mia ishirini kwenye kona shaaa

Change_it

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
279
Reaction score
85
117385961.jpg
wakuu kuna watu wana push hii kitu bongo au mimi ndo bado sijaona?
 
Hii kitu haifai bongo, cheki clearance, hakuna barabara za gari hiyo hapa maali.
Sinza kwa wajanja tu inakwama!
 
Mkuu usijime raha kwasababu yakushindwa kuendesha hiyo Ferari, kutokana na ubovu wa barabara, Mimi natoa huduma za LOW LOADER kama hii, Ni PM kwa biashara zaidi. MOSHA ni mteja wangu mzuri pia.
images
 
Mkuu usijime raha kwasababu yakushindwa kuendesha hiyo Ferari, kutokana na ubovu wa barabara, Mimi natoa huduma za LOW LOADER kama hii, Ni PM kwa biashara zaidi. MOSHA ni mteja wangu mzuri pia.
images

teh teh teh
 
Achilia barabara, kisa cha kuuza roho bure unless natembea na mabodyguard. Halafu ukishaiiba gari kama hiyo waiuza wapi TZ?
 
Back
Top Bottom