Mwananjengo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 317
- 101
Tabia sugu za waume zetu
1. Ukali,
2. Ulevi,
3. Kuchelewa kurudi home,
4. Kupenda marafiki kuliko familia.
5. Umalaya, 6. Kuganda simu zao.
7. Kuficha mambo yao ya maendeleo
8. Kupenda ndugu zao kuliko mke
9. Ubabe
10. Kutokukuridhisha kimapenzi.
11. Kusafiri bila kuaga.
12. Uchoyo,
13. Budget,
14. Kusaidia ndugu zake kuliko zako.
15.kelele kosa kidogo tu kulibebea bendera.
16. Kunuka miguu na kucha.
17. Kutofua chupi zao.
18. Kuvuruga kabati na ndani. ..... Kama mumeo anayo moja wapo kati ya hizi,cheka na usiitaje.... Hahahahahahahaa.
Ngoja nikusaidie kuguna maana naona dunia inazidi kuwa tambara...Mmmmmmh!!!
Unaguna nini..?? Kwani wewe ghuna hayo..??? au baadhi ya hayo.... NA WENGINE MNAPENDA SANA RATIBA ZENU NDO ZIFUATWE KULIKO ZA MUME... YAANI MUME AKITOKA TU BASI HUKU NYUMA HAKUKALIKI
Mioyo kama haisemi kweli, hapo inabidi tuisemee...jamani Ngalikihinja acha kuusemea moyo wangu!!!!!!
Duh..ngoja uwasikie sasa!!Tabia sugu za wanawake wetu
1.Umbeya
2.Ukimsifia tu umemgonga
3.Usafiri mwezi tu hujarudi ashaleta sharouharo wake ndani
4.Kupenda ela ka BoT
5.Kugegedwa na wauza mkaa,magenge,wapaka rangi za kucha
6.Kelele ka king'ora akiletewa umbea tu kakushikia bango
7.Kupenda idadi ya watoto mtakaozaa aamue yeye(utafikiri yeye ndo anawasomesha shwain)
8.Kupenda kutumia mishahara yao peke yao (Ya kwetu midomo ka chuchunge kupanga matumizi)
9.Ukipiga goli nyingi ooh unafanya ka chakula(Na ukipiga kimoko au viwili vya mkwezi unatoka nje ya ndoa)
10.Kupenda kusifiwa (hata kama ana shape ka simba i mean big boobs and m.at.akoless)
Naishia hapa zingine mtaongezea mens coz mnajua madem/wake/mahawara wanavyozingua
NB:Hii tabia ya kutuona sisi wanaume ndo wenye makasoro tuuuuuuuuuuuu inaboa ka nini sema hamjui tu tunavyojisikia:disapointed:
Kuna mmoja nilimsikia akisema kuwa anapenda aolewe na mwaanaume aliyefiwa na ndugu zake wote, yaani baba, mama, kaka, dada n.k. Kwamba hao watu wana kelele sana... Mi nikamuuliza, hivi unadhani kama kaka yako angekuwa na mawazo kama hayo, we ungekuwepo duniani? Au nani angekuwepo duniani?
11. Kuchukia marafiki wa mume
12. Kudhani kuwa yeye kuwa mke basi ndo anataka awe mama yangu, baba yangu, rafiki yangu, dada yangu, etc
13. Kudhani kuwa kila unaporudi umekunywa basi una heka
14. Kuficha funguo za gari kila akikasirika yaani hataka unatakakwenda kazini. Wengu hupanda daladala au magari ya marafiki hili likitokea
15. kutoa mimacho na ku-pay attention kila simu ya mumewe inapoita
16. Kujali ratiba zake zaidi na kutaka awe priority kwenye kila kitu
17. wrong perception kwamba "mwanaume = mwenye hela", kama mumewe hana mkwanja bac kwisha habar yake
Kuna mtu nilimsikia akisema...... Yaani mi mke wangu nikimwambia tu twende tukajiachie sehemu fulani, basi utamsikia, nisubiri niingine ndani mara moja... KUMBE HUMO NDANI ANAZIACHA HELA ZOTE ALIZONAZO ILI ASIJE AKALIPA YEYE KWA KUKUONEA HURUMA.....
Mioyo kama haisemi kweli, hapo inabidi tuisemee...