Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,352
- 111,633
Nimejaribu kusoma mazingira ya hao ndugu na wala sijashawishiwa na jinsia zao kutamka hayo...kumbuka aliyempasha habari huyu mleta mada ni shemeji yake yaani kaka wa mkewe.
Huenda ukawa ni umbea vilevile huenda ukawa ni ukweli...suala la mleta mada kudhania moja kwa moja kuwa huo ni umbea kwa asilimia fulani huenda uamuzi huo ukawa majuto mbeleni...
Ilipaswa afikirie jambo moja kuwa, ama mleta habari ni muongo/mfitini au mkewe anazo kasoro kama alivyotaarifiwa...
Hivyo alipaswa achunguze hizo pande zote mbili best...kupuuzia habari si kutatua tatizo bali ni kulihairisha tu.

aiseee hapa ni kwa vile mwanaume kapeleka umbea.
Angekuwa mwanamke habari ingekuwa tofauti kabisa,
we utakubalije mwanaume mwenzako akuletee maneno