trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
- Thread starter
-
- #121
Watu tunatofautiana kufikili aisee, mimi nililie mwanamke? Unambembeleza mwanaume mwenzio akuachie? Huyo ni mwanamke tena? Oooops!!!!!!
Majibu yake uliyaona? Vipi uko na stamina ya kupima!!!? Ni jambo jema sana kwako!! Kweli kabla ya kuoana hukupima wakati umesema kabla hata ya mahusiano yako na yeye kuanza ulijua ana lizee na wewe ukaamua kujilipua pale? Dah, hata hueleweki!!
Unajua maana ya neno EVEN IF??hata kama meanwhil inawezekana alitubu or not
Faida za kushare experience ya mabaya ya mtu nini???mwambie akuambie mazuri ya huyo dada ushare hopfuly yatakusaidia zaid
Otherwiz nambie unapenda ubuyu(umbeya) tu kama mimi ntakuelewa
Haya kaka endelea baada ya mshkaki wa samsung kuiva nini kilifata....
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kama wewe huna unachokipata kwenye hii story kaa pembeni tu. . . .tuachie sisi tunaojifunza kitu na kiburudika kwa visa vya kweli.
Kuwa ni umbea . . .hell no ,kwasababu hata siwafahamu mkuu.
sasa pombe ya nini! demu wako alishaliwa kabla na huyo eng,baada ya kuachana na eng wewe ndio unaenda kubwia pombe! kama sio uchizi ni nini?
hukusoma kwa utulivu mkuu... Soma kwa utulivu utaelewa tu...
Hukusoma kwa utulivu mkuu... soma kwa utulivu utaelewa tu...
OK! nimeelewa,naomba maana ya 'KUTOKA' na mtu !
Nimewahi several times na nimewahi hadi kulea mimba ya mtu na nikaishia kuletewa mtoto sura copy right na jamaa fulani hadi familia yangu nzima ikamsusa mtoto na baadae ukweli ukajulikana mtoto sio wangu.
sasa kama ni kuishi kimapenzi,kwa nini umekataa niliposema ameliwa? Au mapenzi haihusishi kuliwa? Hata kama haihusishi kuliwa! Una uhakika gani kama demu wako hakuliwa na huyo eng??????ni mtu kuishi kimapenzi na mtu mwingine mkuu...
Pole mkuu.. Yanatokea kwa wengi.. Yanasababisha uchukue mtu sasa bila kumpenda...
Ili mradi ni mwanamke, ukae naye,afanye majukumu kama mke,lakini suala la love hakuna..
sasa kama ni kuishi kimapenzi,kwa nini umekataa niliposema ameliwa? Au mapenzi haihusishi kuliwa? Hata kama haihusishi kuliwa! Una uhakika gani kama demu wako hakuliwa na huyo eng??????
Ndo hivyo mkuu namshukuru Mungu kwasasa nina mke mwema na mtoto mmoja wa kiume na familia inafuraha sana.
Nimewahi several times na nimewahi hadi kulea mimba ya mtu na nikaishia kuletewa mtoto sura copy right na jamaa fulani hadi familia yangu nzima ikamsusa mtoto na baadae ukweli ukajulikana mtoto sio wangu.