View attachment 21340Wana JF jaman mi nikiona vi2 hivi nachelea kuoa kabisa niendelee kufaidiView attachment 21339
Haya baba. Fahari ya macho haifilisi duka inapausha tu.
Mkubwa hivyo vitu havitoisha mpaka unaingia kaburini, ukiwa na nia ya dhati hayo majaribu hayatokushinda hata siku moja.....:A S-omg:
Angalia visukufaidi vyenyewe. By the time unataka kuoa, hata huo UWEZO wa kuishi na mke huna tena.......