View attachment 21340Wana JF jaman mi nikiona vi2 hivi nachelea kuoa kabisa niendelee kufaidiView attachment 21339
Hujaeleweka. Issue hapa ni nini hasa? Huyo uliyemwonyesha hapo ndie anakufanya uchelee kuoa kwa sababu unamfaidi? au unafaidi kuangalia picha ya huyo mwanadada kiasi kwamba huhitaji kuoa?