Abdillahjr
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 694
- 320
ningependa kujua mwanzisha mada ni she au he?
naweza kujua kwa nini anaogopa mende.
..da mi naogopa sana viwavi huku uswahilini wanaitwa chavichavi tena kuna yale makubwa meusi mhh mwili unasisimuka, jana alinidandia mmoja wakati napitiapitia maandishi hamu yote kwisha.
Wadau sijui ni peke yangu, Jamani mi naogopa MENDE balaa, yaani akiingia chumbani siwezi lala, Kuna wale wanaoruka ndio balaa kabisa.
Yani nikiona MENDE mwili unasisimuka, halafu kwa chini mbona kama anafana na SAMAKI.
haumi lakinWadau sijui ni peke yangu, Jamani mi naogopa MENDE balaa, yaani akiingia chumbani siwezi lala, Kuna wale wanaoruka ndio balaa kabisa.
Yani nikiona MENDE mwili unasisimuka, halafu kwa chini mbona kama anafana na SAMAKI.
Wadau sijui ni peke yangu, Jamani mi naogopa MENDE balaa, yaani akiingia chumbani siwezi lala, Kuna wale wanaoruka ndio balaa kabisa.
Yani nikiona MENDE mwili unasisimuka, halafu kwa chini mbona kama anafana na SAMAKI.
Hiyo ni form ya abnormal personality iliyoko kwenye neurosis inayoitwa Phoebia.
Phoebia ni uoga ambao uko katika vitu ama hali ambayo katika hali halisi haiwezi kukudhuru.
Wanasaikolojia wanadai kila mtu ana kitu ama hali ambayo ana Phobia nayo. Hawa wanaokuzodoa ukiwafuatilia utakuta kila mmoja ana kitu anachokiogopa. Wengine huogopa wadudu kama wewe, wengine giza, wengine makaburi, wengine binadamu wenzao nk.
Pole sana mkuu lakini hebu jiulize, hivi mende anweza kukudhuruje? Kama hawezi kwa nini umuogope?
haumi lakin
Pole sana, ungesoma PCB F.6 LAZIMA UFANYE DISSECTION YA MENDE SS SIJUIWW INGEKUWAJE
hiyo kitaalamu inaitwa"phobia"kila m2 ana kitu anachokiogopa,phobia maana yake ni "irational fear"dada yangu anaogopa kifaranga cha kuku hata kama kimetotolewa leo,m2 mwingine hata maji anaogopa(hydrophobia),mwingine anaogopa giza,mwingine miti mirefu,kutatua tatizo hili unahitaji kufanya"extinction"mazoezi ya kuanza kuwa karibu na ki2 unachokiogopa,kama kukigusa nk,mradi kisiwe na madhara,hapo utafanikiwa kuondoa huo uoga wako
Sio maduduwasha hao.......
yani we ndio umeshaharibu siku yangu!!! sasa umemweka hapo wa nini!!!.
kinyonga,kinyonga mimi sipendi hata kumuona,yaan nikimuona mwili wote unasisimka,namuogopa sana
Ni mtoto wa shekh Yahya nini? tufahamishane mkuuu!!Una jini la kike linaitwa MENDELINE asili yake Medina na hurka yake ni kukuchafulia haiba yako kwa wastaarabu wote. Epuka kulala chali, aina yoyote ya tumbaku na usitumie katu choo cha shimo na.........
Kwa taarifa zaidi ni-PM.