Mi naogopa mende

ningependa kujua mwanzisha mada ni she au he?
naweza kujua kwa nini anaogopa mende.

Mdau,we ungetoa darasa kwa pande zote mbili(kama unafahamu)- kwa kueleza upande wa she inakuwaje na he pia inakuwaje- i hope you are great thinker plus huo u-iron lady wako basi utafunguka!!!
 
..da mi naogopa sana viwavi huku uswahilini wanaitwa chavichavi tena kuna yale makubwa meusi mhh mwili unasisimuka, jana alinidandia mmoja wakati napitiapitia maandishi hamu yote kwisha.
 
Wadau sijui ni peke yangu, Jamani mi naogopa MENDE balaa, yaani akiingia chumbani siwezi lala, Kuna wale wanaoruka ndio balaa kabisa.

Yani nikiona MENDE mwili unasisimuka, halafu kwa chini mbona kama anafana na SAMAKI.

Heri yako wewe unayeogopa mende, binafsi mimi huwa siyo muoga am not scared of any thing hata nyoka na kwa bahati mbaya hata ukiniambia niende mochwari kutambua maiti i can. huwa na mm nataman kweli kuwa mwoga lakini siwez and i think that is my weekness. siyo mtu hata kama ana cheo na ni mkali kiasi gani kwangu mm poa tu. nimearibu hata kuwashirikisha watu waniambie shida yangu nini nini hakuna aliyeniambia. kibaya zaid hata mtu akipagawa na shetani labda tuko church mm huwa hata kuogopa nikamtazama siwez na huwa nachukulia poa tu. sasa je huu ni ugonjwa au ni kitu gani?

but kama unamuogopa mende jitahidi asiingie ndani kwako.
 
Wadau sijui ni peke yangu, Jamani mi naogopa MENDE balaa, yaani akiingia chumbani siwezi lala, Kuna wale wanaoruka ndio balaa kabisa.

Yani nikiona MENDE mwili unasisimuka, halafu kwa chini mbona kama anafana na SAMAKI.
haumi lakin
 

Attachments

  • u19645657.jpg
    u19645657.jpg
    2.7 KB · Views: 155
Wadau sijui ni peke yangu, Jamani mi naogopa MENDE balaa, yaani akiingia chumbani siwezi lala, Kuna wale wanaoruka ndio balaa kabisa.

Yani nikiona MENDE mwili unasisimuka, halafu kwa chini mbona kama anafana na SAMAKI.

c unaona wenzio tunacheza nao!
 

Attachments

  • u12332130.jpg
    u12332130.jpg
    2.3 KB · Views: 150
Hiyo ni form ya abnormal personality iliyoko kwenye neurosis inayoitwa Phoebia.
Phoebia ni uoga ambao uko katika vitu ama hali ambayo katika hali halisi haiwezi kukudhuru.
Wanasaikolojia wanadai kila mtu ana kitu ama hali ambayo ana Phobia nayo. Hawa wanaokuzodoa ukiwafuatilia utakuta kila mmoja ana kitu anachokiogopa. Wengine huogopa wadudu kama wewe, wengine giza, wengine makaburi, wengine binadamu wenzao nk.
Pole sana mkuu lakini hebu jiulize, hivi mende anweza kukudhuruje? Kama hawezi kwa nini umuogope?

mbona jamani mimi siyo muoga wa kitu chochote kile? tena am so daring kiasi kwmba naweza hata kurescue mtu kwenye hatari I can.
 
hiyo kitaalamu inaitwa"phobia"kila m2 ana kitu anachokiogopa,phobia maana yake ni "irational fear"dada yangu anaogopa kifaranga cha kuku hata kama kimetotolewa leo,m2 mwingine hata maji anaogopa(hydrophobia),mwingine anaogopa giza,mwingine miti mirefu,kutatua tatizo hili unahitaji kufanya"extinction"mazoezi ya kuanza kuwa karibu na ki2 unachokiogopa,kama kukigusa nk,mradi kisiwe na madhara,hapo utafanikiwa kuondoa huo uoga wako

Hongera mkuu, umeielezea vizuri, hapo Psychology imetulia! Maanake mpaka namna ya kuondoa hiyo rational fear.
 
yani we ndio umeshaharibu siku yangu!!! sasa umemweka hapo wa nini!!!.

Pole sana kaka najua hiyo hali mie kuna kitu naogopa sana tena hata picha yake nikiona nachanganyikiwa.
kuna siku nilifungua facebook nikaona picha ya hicho kitu nikaiona niliikibia toka chumbani mpaka nikamwomba jamaa aingie ndan kwangu akazime PC ili niweze kurudi ndan.
Naogopa kutaja ninachoogopa kwa kuwa kuna wakorofi wanaweza ku upload hapa na kuniharibia siku..
 
Mie naogopa nyoka babu. Kwanza ule mwendo wake wa kunyinyirika unanitisha, pili akikugonga tu sumu yake inafika ubongoni. Nimekwepa kupangiwa kazi maeneo yenye nyoka wengi tena wakali kama Tabora, Bonde la usangu n.k.
 
kinyonga,kinyonga mimi sipendi hata kumuona,yaan nikimuona mwili wote unasisimka,namuogopa sana
 
Mi niko tofauti, namuonea wivu sana mende, hasa yule wa chooni! ana enjoy sana...hasa vyoo vya kike..!!
 
Una jini la kike linaitwa MENDELINE asili yake Medina na hurka yake ni kukuchafulia haiba yako kwa wastaarabu wote. Epuka kulala chali, aina yoyote ya tumbaku na usitumie katu choo cha shimo na.........

Kwa taarifa zaidi ni-PM.
Ni mtoto wa shekh Yahya nini? tufahamishane mkuuu!!
 
Back
Top Bottom