mashakaDaima
Member
- May 3, 2013
- 38
- 5
katika maandalizi yaa uundwaji wa katiba mpya suala la kuwepo au kutokuwepo kwa muungano limekuwa ni jambo ambalo linaleta mijadala mbalimbali kwa wananchi na viongozi.
Japo kuna mapungufu na changamoto mbalimbali kuuhusu muungano basi nia wakati sasa wa kufikiri ni namna gani ya kuuboresha muungano kwa kuuvuruga muungano nia kuivuruga nchi pia.
Kwahiyo katiba mpya izingatie uboreshaji wa muungano wetu ili uweze kudumu zaidi na zaidi au mnaonaje wanaJF.
Naomba michango yenu juu ya hii mada!!