Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,123
- 4,361
Umechanganyikiwa tayari! Onyesha niliposema wewe ni wa mbowe!Leo nimekuwa chawa wa Mbowe na sio wa ccm kama mnavyosema 😂 Mbona hamueleweki?
OK Kwahy wanaoteka n akina nani?

☝️Mbona nyie machawa mpo pamoja na mbowe
Machawa wa samia au mbowe naye ana chawa?
Uwe na siku njema bossMachawa wa samia au mbowe naye ana chawa?
Mshana,mbona kanona halafu kakwamia mlangoni mwa oven?Hakuna kitu kinamuuma mwizi kama kuibiwa
Gangwe ni lugha kitaa ambayo ni almost inatoweka! Lakini kwa tafsiri rahisi gangwe ni mtu mtemi.. Nyakati hizo neno hilo lilimaanisha utemi kwenye mapigano..
Mhuni na gangwe ni watu wawili tofauti wasioiva hata kidogo.. Mhuni hupenda kufanya mambo kihuni, nje ya utaratibu, kuvunja sheria, kukiuka kanuni nk
Mhuni daima hana adabu
Mhuni daima hana nidhamu
Mhuni daima hana hekima
Mhuni daima hana heshima
Mhuni daima hana haya!
Mhuni daima hana akili
Gangwe ni mtemi na mtu aliyenyooka sana.. Tofauti na mhuni ambaye hutumia watu kutimiza uhuni wake na kupenda kufanya mambo kwa kificho.. Gangwe yeye hana mambo mengi, ni mtemi asiyeogopa kitu na daima huenda mwenyewe front!
Kuna wahuni hujaribu kuwa watemi.. Tatizo lao ni moja utemi wao ni kwa kuwatumia watu.. Wahuni hujifanya wajuaji na watoto wa mjini sana! Ila ukiwabananisha mahali hawakawii kupiga kelele
Kuna mhuni kawageuka wahuni wenzake.. Unajua kwenye wahuni wa kaliba mbili
1. Wanaojifanya mabon town
2. Wakuja
Wote hawa ni wahuni tuu wamegeukana.. Ratio kuna upande unataka Ku act Kama mtemi na gangwe la magangwe..
Je kwenye hii vita nani wataibuka kidedea? Wabush ama wakuja?View attachment 3410333View attachment 3410334
Angeingi tu kikaangoni tuone mafuta yakichuruzika.Hahahaha😁
Huyo kiumbe ndo yule asiyesikia?Hakuna kitu kinamuuma mwizi kama kuibiwa
Gangwe ni lugha kitaa ambayo ni almost inatoweka! Lakini kwa tafsiri rahisi gangwe ni mtu mtemi.. Nyakati hizo neno hilo lilimaanisha utemi kwenye mapigano..
Mhuni na gangwe ni watu wawili tofauti wasioiva hata kidogo.. Mhuni hupenda kufanya mambo kihuni, nje ya utaratibu, kuvunja sheria, kukiuka kanuni nk
Mhuni daima hana adabu
Mhuni daima hana nidhamu
Mhuni daima hana hekima
Mhuni daima hana heshima
Mhuni daima hana haya!
Mhuni daima hana akili
Gangwe ni mtemi na mtu aliyenyooka sana.. Tofauti na mhuni ambaye hutumia watu kutimiza uhuni wake na kupenda kufanya mambo kwa kificho.. Gangwe yeye hana mambo mengi, ni mtemi asiyeogopa kitu na daima huenda mwenyewe front!
Kuna wahuni hujaribu kuwa watemi.. Tatizo lao ni moja utemi wao ni kwa kuwatumia watu.. Wahuni hujifanya wajuaji na watoto wa mjini sana! Ila ukiwabananisha mahali hawakawii kupiga kelele
Kuna mhuni kawageuka wahuni wenzake.. Unajua kwenye wahuni wa kaliba mbili
1. Wanaojifanya mabon town
2. Wakuja
Wote hawa ni wahuni tuu wamegeukana.. Ratio kuna upande unataka Ku act Kama mtemi na gangwe la magangwe..
Je kwenye hii vita nani wataibuka kidedea? Wabush ama wakuja?View attachment 3410333View attachment 3410334
🤣🤣Huyo huyo mwenye uziwi
Kama ameweza kuwageuka wenzake, anashindwa nini kuwageuka na huko alipo sasa?
Mtu kuongea kinachokufurahisha haina maana yupo kundi moja na nyie ndo mana Gwajima anapinga utekaji/uuaji unaofanywa na ccm afu hapo hapo anasema atabaki kuwa ccm daima, sasa jiulize kwann haondoki ccm wakati amesema kuna mambo mabaya.
Yani uwe mwizi nyumbani kwenu tuu afu kwa jirani usiwe mwizi kisa ni kwa jirani? Haiwezekani.
Chadema tumieni akili.
SERIKALI anayo nani Ili utekaji usiendelee.Leo nimekuwa chawa wa Mbowe na sio wa ccm kama mnavyosema 😂 Mbona hamueleweki?
OK Kwahy wanaoteka n akina nani?
Huyu chaba sio muhuni, ni muhadzabe anayetrend kwa sasaHakuna kitu kinamuuma mwizi kama kuibiwa
Gangwe ni lugha kitaa ambayo ni almost inatoweka! Lakini kwa tafsiri rahisi gangwe ni mtu mtemi.. Nyakati hizo neno hilo lilimaanisha utemi kwenye mapigano..
Mhuni na gangwe ni watu wawili tofauti wasioiva hata kidogo.. Mhuni hupenda kufanya mambo kihuni, nje ya utaratibu, kuvunja sheria, kukiuka kanuni nk
Mhuni daima hana adabu
Mhuni daima hana nidhamu
Mhuni daima hana hekima
Mhuni daima hana heshima
Mhuni daima hana haya!
Mhuni daima hana akili
Gangwe ni mtemi na mtu aliyenyooka sana.. Tofauti na mhuni ambaye hutumia watu kutimiza uhuni wake na kupenda kufanya mambo kwa kificho.. Gangwe yeye hana mambo mengi, ni mtemi asiyeogopa kitu na daima huenda mwenyewe front!
Kuna wahuni hujaribu kuwa watemi.. Tatizo lao ni moja utemi wao ni kwa kuwatumia watu.. Wahuni hujifanya wajuaji na watoto wa mjini sana! Ila ukiwabananisha mahali hawakawii kupiga kelele
Kuna mhuni kawageuka wahuni wenzake.. Unajua kwenye wahuni wa kaliba mbili
1. Wanaojifanya mabon town
2. Wakuja
Wote hawa ni wahuni tuu wamegeukana.. Ratio kuna upande unataka Ku act Kama mtemi na gangwe la magangwe..
Je kwenye hii vita nani wataibuka kidedea? Wabush ama wakuja?View attachment 3410333View attachment 3410334
Viongozi wa Chadema wasiwape hao viongozi wa CCM rejected kwenye agenda zao hao ndio waasisi wauovu...