Mhuni kakutana na gangwe

Mhuni kakutana na gangwe

Kwani yeye Gwajima ndiye anayeteka watu? Mbona nyie machawa mpo pamoja na mbowe lwa sababu anafanya mambo mnayopenda na sisi yeyote atakaye wapelekea moto maccm tupo naye. Kitu kingine huyo jamaa alipewa ubalozi ili anyamazishwe kama umesahau basi!
Leo nimekuwa chawa wa Mbowe na sio wa ccm kama mnavyosema 😂 Mbona hamueleweki?
OK Kwahy wanaoteka n akina nani?
 
Kama ameweza kuwageuka wenzake, anashindwa nini kuwageuka na huko alipo sasa?

Mtu kuongea kinachokufurahisha haina maana yupo kundi moja na nyie ndo mana Gwajima anapinga utekaji/uuaji unaofanywa na ccm afu hapo hapo anasema atabaki kuwa ccm daima, sasa jiulize kwann haondoki ccm wakati amesema kuna mambo mabaya.

Yani uwe mwizi nyumbani kwenu tuu afu kwa jirani usiwe mwizi kisa ni kwa jirani? Haiwezekani.

Chadema tumieni akili.
punguza mukali cdm imetokea wapi
 
Mbona jibu ni easy .wanaogopa kuondoka kwasababu watasukwasukwa na viongoz wao..wataporwa mali zao...kunanwatoto ktk family baba ukizengua wanakinukisha...na hawahami wataenda wapi hapo ni kwao?ndo walipokulia ..ss hv ni movement moja dogo tulia
Ila kusema mabaya ya sehemu ulipo huwezi kufanyiwa mabaya?
 
Siasa ni mchezo mchafu, kaa kimasta bwashee, uwe kama popo si mnyama wala si ndege, hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu , wewe kaza fuvu tu mangi😅
Bc chadema wawe wapole wakimuona Mbowe anawakataa Kwenye interview huko 😂
 
Kama ameweza kuwageuka wenzake, anashindwa nini kuwageuka na huko alipo sasa?

Mtu kuongea kinachokufurahisha haina maana yupo kundi moja na nyie ndo mana Gwajima anapinga utekaji/uuaji unaofanywa na ccm afu hapo hapo anasema atabaki kuwa ccm daima, sasa jiulize kwann haondoki ccm wakati amesema kuna mambo mabaya.

Yani uwe mwizi nyumbani kwenu tuu afu kwa jirani usiwe mwizi kisa ni kwa jirani? Haiwezekani.

Chadema tumieni akili.

haondoki (Gwajima) ccm nafikiri kwa sababu siyo (ccm) mali ya mtu binafsi hivyo inaweza kusafishika …
 
Mbona jibu ni easy .wanaogopa kuondoka kwasababu watasukwasukwa na viongoz wao..wataporwa mali zao...kunanwatoto ktk family baba ukizengua wanakinukisha...na hawahami wataenda wapi hapo ni kwao?ndo walipokulia ..ss hv ni movement moja dogo tulia
Mkuu hivi huko kusini hili neno "kuzengua" ndio sahihi na sio kuzingua??
 
Magangwe tunajitambua
7eb2ab2d-1e6a-45b4-8228-aa27653d2cb7.jpeg
 
Back
Top Bottom