Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,928
- 828,569
Hakuna kitu kinamuuma mwizi kama kuibiwa
Gangwe ni lugha kitaa ambayo ni almost inatoweka! Lakini kwa tafsiri rahisi gangwe ni mtu mtemi.. Nyakati hizo neno hilo lilimaanisha utemi kwenye mapigano..
Mhuni na gangwe ni watu wawili tofauti wasioiva hata kidogo.. Mhuni hupenda kufanya mambo kihuni, nje ya utaratibu, kuvunja sheria, kukiuka kanuni nk
Mhuni daima hana adabu
Mhuni daima hana nidhamu
Mhuni daima hana hekima
Mhuni daima hana heshima
Mhuni daima hana haya!
Mhuni daima hana akili
Gangwe ni mtemi na mtu aliyenyooka sana.. Tofauti na mhuni ambaye hutumia watu kutimiza uhuni wake na kupenda kufanya mambo kwa kificho.. Gangwe yeye hana mambo mengi, ni mtemi asiyeogopa kitu na daima huenda mwenyewe front!
Kuna wahuni hujaribu kuwa watemi.. Tatizo lao ni moja utemi wao ni kwa kuwatumia watu.. Wahuni hujifanya wajuaji na watoto wa mjini sana! Ila ukiwabananisha mahali hawakawii kupiga kelele
Kuna mhuni kawageuka wahuni wenzake.. Unajua kwenye wahuni wa kaliba mbili
1. Wanaojifanya mabon town
2. Wakuja
Wote hawa ni wahuni tuu wamegeukana.. Ratio kuna upande unataka Ku act Kama mtemi na gangwe la magangwe..
Je kwenye hii vita nani wataibuka kidedea? Wabush ama wakuja?