Mwambawetu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,431
- 34,462
Kwani kuna chama kimesusia uchaguzi ?ACT - Wazalendo wamekuja na ujumbe muhimu sana "#MHUNI HASUSIWI KURA" na OKTOBA - LINDA KURA.
Ni jumbe kali sana. Napenda kuziwakilisha kwa NO REFORM NO ELECTION, ili tuzijadili hoja hizi mbili kwa kina.
Kwani ni takriban miezi 3 mpaka uchaguzi, hatujachelewa kwa jumbe moja au nyingine, meza inaweza kugeuzwa. Wakati wa maamuzi ni huu.